huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.
huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.
Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.
wimbo wa zindonga
Shazam