Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.

huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.

Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.

wimbo wa zindonga





Shazam
Daah kumbe we mwanamke
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rule numbre uno: Never marry a single mother.

Rule number two: Refer to rule.number one
Mm sioi Single mom mpaka nihakikishe mmewake Kafa.

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
 
Siku hizi hakuna cha kufa na kuzikana kwani, maana naona wimbi linaongezeka wale wanaotakiwa kuwa na mmoja hadi kifo wanashindwa kuvumilia kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom