binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kuwa mpinzani haijawahi kuwa kazi rahisi, waliobaki upinzani hadi sasa ni “wanaume” kweri kweri.
Kila la heri Peneza.
Kila la heri Peneza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NCHIMBI alihusika pia kumuua mtoto wa Malecela Ipyana wakati wa kugombea uongozi wa vijana ccm.Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Noo Noo this is a joke!! You are kidding me right? DuhAliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.
Hilo la kumtakia heri umekomaa kisiasa !Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Akitoka CCM kwenda chadema anakuwa na future na kununua utu wake!Maskini Pendo, hakua na future! Kila la heri katika kuuza utu wako ili upate mkate wako
Chadema walikuwa wanawavua vyupi kwanza halafu ndo majina yanapelekwa bungeni kwa mgongo wa viti maalum,leo unashangaa kuwaona CCM? Washapata tena wa kuwavua vyupi
Duuh huyu dada kanishangaza, yaani anaenda kujiunga na waliompora kura 2020? Dah ajabu sana. Anasahau walimuua Mawazo hapo hapo Geita leo hii anamgeuka kwa kuungana na wauwaji.Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Kafanikiwa kujipenyeza, bila Chadema CCM ni magarasa matupu.Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.
Hakika, upo sahihi.Siasa kama Mapenzi tu na Wabunge wa viti maalum kama Madanga(tabia za kimalayamalaya) tu wanahamia palipo na uhakika wa Pesa/teuzi.
Hoja ya chadema ya kuondoa mfumo wa viti maalum na kuwaingiza wanawake katika mchuono wa kawaida itasaidia sana kuondoa wanawake wa hovyo hovyo wenye tabia za kimalayamalaya bungeni.
Yeye au wewe??Hata hivyo bado ni Chadema damu!
Kaipeleka ChukuwaChakoMapema...Watafaidi!❤️🔥😉😜Being honest, Pendeza ni mrembo haswa.
Atakuwa kahaidiwa kijinafasiDuuh huyu dada kanishangaza, yaani anaenda kujiunga na waliompora kura 2020? Dah ajabu sana. Anasahau walimuua Mawazo hapo hapo Geita leo hii anamgeuka kwa kuungana na wauwaji.
Mbona anajiunga bila MSHIKO?UMALAYA wa KISIASA kweli BABA wa TAIFA alikuwa NABIIAliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.
Acha hasira dada.CHADEMA watabaki wasiojitambua tu na wavuta bangi kama Mdude Nyagali ambaye kichwani hazisomi.
Maisha yamemtinga na si kwa imani ya dhati!