Pre GE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.

Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.

Tunakutakia kila la heri
NCHIMBI alihusika pia kumuua mtoto wa Malecela Ipyana wakati wa kugombea uongozi wa vijana ccm.
He is a mercenary!
 
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.

Noo Noo this is a joke!! You are kidding me right? Duh
 
Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.

Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.

Tunakutakia kila la heri
Hilo la kumtakia heri umekomaa kisiasa !
 
Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.

Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.

Tunakutakia kila la heri
Duuh huyu dada kanishangaza, yaani anaenda kujiunga na waliompora kura 2020? Dah ajabu sana. Anasahau walimuua Mawazo hapo hapo Geita leo hii anamgeuka kwa kuungana na wauwaji.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.

Kafanikiwa kujipenyeza, bila Chadema CCM ni magarasa matupu.
 
Siasa kama Mapenzi tu na Wabunge wa viti maalum kama Madanga(tabia za kimalayamalaya) tu wanahamia palipo na uhakika wa Pesa/teuzi.

Hoja ya chadema ya kuondoa mfumo wa viti maalum na kuwaingiza wanawake katika mchuono wa kawaida itasaidia sana kuondoa wanawake wa hovyo hovyo wenye tabia za kimalayamalaya bungeni.
Hakika, upo sahihi.
 
Hakinyake kikatiba, na pengine ndio hatma yake kisiasa ipo huko CCM
 
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.

Mbona anajiunga bila MSHIKO?UMALAYA wa KISIASA kweli BABA wa TAIFA alikuwa NABII

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom