Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnajitoa tu ufahamu mnatakiwa kumshukuru kwa kuwa mkweli na muwazi sana ,peneza ana Siri nyingi sana zingine amezimeza tu!! Hivi kweli kunguru wale wa chadema kwa urembo wa peneza walimkosa kosa kweli !
 
Upeleke ujinga wake huko ccm, unaangaika na chama ambacho hakina mda na wewe.

Watu wakishaambiwa kutoa viposho basi akili wapi ametoka hupotea, ameni vyama ila kuweni na adabu
Chama cha siasa ni mali ya umma
 
Ni kweli kabisa. Wale tunaoona vizuri tunajua covid 19 watadunda hadi 2025 kumaliza ubunge maana wanahonga hadi chadema.
 
Waanze CCM kwanza.
 
MALAYA wa KISIASA kwani yeye kujiunga CCM alichopewa sio Rushwa?
 
Yeye asubiri kupata uteuzi wake baada yakuvushwa na CDM mimi kwa maono yangu Upendo bado ni CDM amechukuliwa CCM kwa mkopo mwingine ni Katambi na Lijua likali hao wote wapo CC M kwa mkopo.
 
Na watu wa chama kama taasisi bila watu haiwezi kuwa taasisi!
We kipara we! Watu wa chama wanaweza sema yao watakayo, lakini chama kama taasisi huwa ina msemaji. Jee lilikuwa tamko la chama?
 
Yeye asubiri kupata uteuzi wake baada yakuvushwa na CDM mimi kwa maono yangu Upendo bado ni CDM amechukuliwa CCM kwa mkopo mwingine ni Katambi na Lijua likali hao wote wapo CC M kwa mkopo.
Damu ya Peneza kijani kitupu
 
We kipara we! Watu wa chama wanaweza sema yao watakayo, lakini chama kama taasisi huwa ina msemaji. Jee lilikuwa tamko la chama?
Tangu aondoke slaa na makene hiyo taasisi haina msemaji wote ni waliopo ni wasemaji!
 
Ana elimu kubwa sana, anaweza kuwa hata mkurugenzi wa taasisi kubwa sana hapa nchini, ukiacha mambo ya siasa, ni mtu makini sana
Ana elimu gani hebu tufahamishe in details?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…