Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
VPMBado haujaninyooshea maelezo. Yaani huyo doto ni nani me simfahamu kwamba ana title gani hapa mjini? [emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VPMBado haujaninyooshea maelezo. Yaani huyo doto ni nani me simfahamu kwamba ana title gani hapa mjini? [emoji848]
Lisu amesema ndani ya chadema kuna rushwa. Ina maana wewe hujamsikia lisu akisema hivyo?
Kijani kwa maslai ila si kwa moyoDamu ya Peneza kijani
Haujamsikia lisu akilia pesa kumwagwa kama njugu kwenye chama?Rushwa kwenye nini? Miradi ya chadema au uchaguzi wa ndani?
Duu!ananuka sana huyo akishavua nguo sijui anashida gani
UmejuajeDamu na moyo unasoma Lumumba
Hoja hapo ni rushwa na tuhuma hizo ilitolewa na Tundu Lissu, je TL na yeye yupo kwenye project ya kufanya kazi upande wa pili?Yupo kwenye SiSIEMu Project ,aishangazi ,mwache aendelee kufanya kazi ya upande wa pili.
anasaka cheo lakini kwa CCM ngumu mno,bora aombe tu kupata mchumba,anajidharirisha na mtindo wa siasa za kizamani. Chadema limekwishaota mizizi huyo mdogo sana haliwezi wala ccm hawaoni mchango wakeKumekucha! Maguzu masese.
Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.
Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.
View attachment 2995704
Upendo anapigilia msumari hoja ya Lissuanasaka cheo lakini kwa CCM ngumu mno,bora aombe tu kupata mchumba,anajidharirisha na mtindo wa siasa za kizamani. Chadema limekwishaota mizizi huyo mdogo sana haliwezi wala ccm hawaoni mchango wake