Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

View attachment 2995704
anasaka cheo lakini kwa CCM ngumu mno,bora aombe tu kupata mchumba,anajidharirisha na mtindo wa siasa za kizamani. Chadema limekwishaota mizizi huyo mdogo sana haliwezi wala ccm hawaoni mchango wake
 
anasaka cheo lakini kwa CCM ngumu mno,bora aombe tu kupata mchumba,anajidharirisha na mtindo wa siasa za kizamani. Chadema limekwishaota mizizi huyo mdogo sana haliwezi wala ccm hawaoni mchango wake
Upendo anapigilia msumari hoja ya Lissu
 
Back
Top Bottom