Pre GE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nadhani Chadema wamekuwa na Tabia ya kukopa Fedha kwa Mwenyekiti Mbowe

Ndio anatoa Ufafanuzi Jengo halina mkopo🐼

Ukishaona mtu anatumia neno Nadhani, ujue ni mchawi na muuwaji. Kama huna uhakika taarifa Kaa kimya.
 
Kama limenunuliwa kwa michango ya wabunge na ruzuku,basi uongozi unastahili pongezi za dhati.Hayo ndiyo matumizi yanayotakiwa.Pamoja na hayo hili li Peneza Lina matatizo kichwani.Walio karibu naye watafute namna ya kumsaidia maana anaweza kuanza kuvua nguo hadharani.
 

Ni kweli ni kama ana stress.
 
Sasa alitaka linunuliwe kwa hela za zaka?
 
Upendo Peneza.......
Huyu Mh. angekaa kimya ili aonekane ni mwenye busara.
Yeye sio mrembo wala kisiasa kama Mh. Mdee lakini aone jinsi Mdee alivyopotezwa mpaka sasa anaomba POO kwa kuhudhuria mambo ya kijamii huko kwa kina MBOWE.
 
Sijaelewa, hapo alikuwa anawaponda au anawasifia viongozi wa CHADEMA kwa ununuzi wa jengo jipya?
 
Alikua wapi tangu siku zote hizo mm namuita mnafiki ila kma kuna malisho mazuri ameyapata ni vema angetulia !!!!
 
Kukaa kimya pia ni jambo jema
Kuna mwanamke nilikaa naye miaka 5 siku naachana nae anasema nina kibamia ha ha ha hakuwaambia kiini cha mm na yy kuachana ajabu alivyorudi tena nakula na kibamia kimeongezeka!!!!
 
Uongo mtupu sema maisha ya ufisadi kwa urefu wa kamba
Your browser is not able to display this video.

sio maisha bora kwa kila mtanzania
Kwa sasa Upendo Peneza amehamia CCM kwenye Maisha Bora kwa Kila Mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…