Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake.
Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume kutafuta plan B bila kujali consequence ya hiyo plan
Mwanaume mwenye akili timamu huumia sana akimwona mtoto , mke au mzazi wake akiteseka na hapo hujitoa muhanga kwa kazi yoyote.
Wanaume hufa haraka kuliko wanawake kwasababu mwanaume huiwazia familia yake masaa 24, hata ndotoni huiwazia familia yake huku mwanamke muda mwingi huwaza vitu vidogovidogo kama upatu, sherehe, viatu, mikoba na nywele.