Unaamini neno hata moja analoongea Rachel mimi siamini hata moja kutwa kudanganya mke huku hajaolewa,juzi kadai yeye ana diplomatic passport kuambiwa aionyeshe kapiga watu block na mitusi kama yote ilihali inajulikana ni mchepuko kama alivyokuwa dadaake huku wakafanya harusi Dar.Nimeamka asubuhi nikamu check Rachel kumbe ugomvi wao wivu wa mapenzi, eti resty alikuwa ana mtaka mzimbabwe kinguvu na ampe deal ndio shida, huyo resty naye si awe kimya na yeye maana madhambi yake mengi yanajulikana
Rachel naye yule yule kujimwambafai tu kuonekanq anajua na kumzalilisha mwingine hata vitu vya uongo. Rachel anaipataje hyo diplomatic passport kiurahisi hivo, why anatumia nguvu nyingi aonekane, waache kujizalilishaUnaamini neno hata moja analoongea Rachel mimi siamini hata moja kutwa kudanganya mke huku hajaolewa,juzi kadai yeye ana diplomat passport kuambiwa aionyeshe kapiga watu block na mitusi kama yote ilihali inajulikana ni mchepuko kama alivyokuwa dadaake huku wakafanya harusi Dar.
Ahaaa..Kuwa na vijana wadogo hivi ni pasua kichwa,ila ndio hivyo kipendacho roho...
Just ahaaaa??😁Ahaaa..
Hoja yako nzito Rafiki..Just ahaaaa??😁
Ndoa za kiislam hazina gharama.Nahisi huyu mdada ka-assist mwenyewe (kajitolea mwenyewe mahali) na kafunga mwenyewe.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hihii mwanawaneeAsa huyu kijana ihiiiiii in (magu's voice) atakuwa kaenda kutafuta fursa
Usiache nafasi yaunganishe yote hayo majina...kaweka DP ya mtoto wa Gabriel Unionloh gumu kweli naambiwa user not found haha
Yule Rachel ana matatizo kwenye ubongo wake,Resty angekuwa na akili timamu angenyamaza kimyaaa naona kamuanza mdogo mdogo na tule Ruth dadake wakati alinifanya a anampenda jamaniiiiiNimeamka asubuhi nikamu check Rachel kumbe ugomvi wao wivu wa mapenzi, eti resty alikuwa ana mtaka mzimbabwe kinguvu na ampe deal ndio shida, huyo resty naye si awe kimya na yeye maana madhambi yake mengi yanajulikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo leo kaweka picha ana kata kata mboga za wateja wake baasi sijui kuna misukule inayoamini maigizo full kulalamikia hina ya ndoa itafutika kabla siku saba mara ooh superwoman hujaenda honeymoon usharudi kazini aisee watanzania tuna safari ndefu
True kabisaUkiona mtu anapost sana mwenzake mtandaoni especially wanawake(rejea history ya mabeste na mkewe) utagundua kuwa ndani wanakuwa wanapitia magumu ila wanafanya vile kama namna ya kujifariji au kujenga picha kuwa wana amani.
Sababu kwa watu wenye mahusiano yenye afya huwa ni kupoteza muda sana kushinda kwenye social media kutafuta likes za privacy yenu.....
We naee unapenda umbea ila wala huna mafile muhimu ya kupigia umbea.Unaniambia shkuba ndo kazaa yule mtoto wa resty? Jamaa si ana asili ya pemba hv raisi wa magomeni yule ila kweli madon wa nyeupe wengi walijenga mijengo mbezi beach japo ma apartment wanayo magomeni na sinza madukani.
Ihiiiiii yaani! Afu zile picha kama vile mwanamama ndo alikuwa anaoa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hihii mwanawanee
Ilinipa utata kidogo hiyo kauli yakeOpen kitchen ni mzuri? Au ndio mambo ya pesa
Ndiyo maana jamaa akasema eti uyo mama mzuri ivoBaba Mnyakyusa mama Mganda
Mbutananga kaolewa na hechibii moja matata la kisukuma wahenga walinena kila Jambo na wakati wake nampongeza mno mbutananga aisee.