Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Nimeamka asubuhi nikamu check Rachel kumbe ugomvi wao wivu wa mapenzi, eti resty alikuwa ana mtaka mzimbabwe kinguvu na ampe deal ndio shida, huyo resty naye si awe kimya na yeye maana madhambi yake mengi yanajulikana
Unaamini neno hata moja analoongea Rachel mimi siamini hata moja kutwa kudanganya mke huku hajaolewa,juzi kadai yeye ana diplomatic passport kuambiwa aionyeshe kapiga watu block na mitusi kama yote ilihali inajulikana ni mchepuko kama alivyokuwa dadaake huku wakafanya harusi Dar.
 
Unaamini neno hata moja analoongea Rachel mimi siamini hata moja kutwa kudanganya mke huku hajaolewa,juzi kadai yeye ana diplomat passport kuambiwa aionyeshe kapiga watu block na mitusi kama yote ilihali inajulikana ni mchepuko kama alivyokuwa dadaake huku wakafanya harusi Dar.
Rachel naye yule yule kujimwambafai tu kuonekanq anajua na kumzalilisha mwingine hata vitu vya uongo. Rachel anaipataje hyo diplomatic passport kiurahisi hivo, why anatumia nguvu nyingi aonekane, waache kujizalilisha
 
Utakuta huyo kijana kilikuwa kidumu cha pembeni sasa baba kaamua isiwe shida akipishe kidumu ili kipate kuwa diaba kabisa .ndoa ndoano wewe usipime
 
Nimeamka asubuhi nikamu check Rachel kumbe ugomvi wao wivu wa mapenzi, eti resty alikuwa ana mtaka mzimbabwe kinguvu na ampe deal ndio shida, huyo resty naye si awe kimya na yeye maana madhambi yake mengi yanajulikana
Yule Rachel ana matatizo kwenye ubongo wake,Resty angekuwa na akili timamu angenyamaza kimyaaa naona kamuanza mdogo mdogo na tule Ruth dadake wakati alinifanya a anampenda jamaniiiii
 
Yupo leo kaweka picha ana kata kata mboga za wateja wake baasi sijui kuna misukule inayoamini maigizo full kulalamikia hina ya ndoa itafutika kabla siku saba mara ooh superwoman hujaenda honeymoon usharudi kazini aisee watanzania tuna safari ndefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona mtu anapost sana mwenzake mtandaoni especially wanawake(rejea history ya mabeste na mkewe) utagundua kuwa ndani wanakuwa wanapitia magumu ila wanafanya vile kama namna ya kujifariji au kujenga picha kuwa wana amani.

Sababu kwa watu wenye mahusiano yenye afya huwa ni kupoteza muda sana kushinda kwenye social media kutafuta likes za privacy yenu.....
True kabisa
 
Unaniambia shkuba ndo kazaa yule mtoto wa resty? Jamaa si ana asili ya pemba hv raisi wa magomeni yule ila kweli madon wa nyeupe wengi walijenga mijengo mbezi beach japo ma apartment wanayo magomeni na sinza madukani.
We naee unapenda umbea ila wala huna mafile muhimu ya kupigia umbea.

Iko hivi
Rest alizaa na mtu, alokuwa anamiliki nyumba waliyopanga WCB enzi hizo, akakamatwa akawa jela.
So resty si alikuwa na mtoto nae, ndo mtoto akawa mmliki. Na ndo Resty akawa anapokaa kodi kama custodian.
Jamaa katika jela kachukua nyumba yake na kashaiuza.
Sawa?


Kuhusu Shkuba, alikuwa ni boyfriend wa Resty huyo huyo ila hawakuzaa, shkiba kazi zake ndo hizo, so rumour has it kuwa alikuwa anambebesha na resty.

Sasa hivi Rachel kaolewa ana mtoto mwingine na mumewe wa sasa.
Ila huku sa hiz analea yeye.
Jamaa anatunzwa tu.
Bibie busy na samaki na American garden ,juzi Kaanza kuuza majiko ya mkaa.


Upo?
Sasa uache kupenda kazi bil kuwa na vifaa shirikishi.
Raha ya umbea uwe na mafile ya watu husika.
Ndo hata ukiletewa kwa codes gani, we unaruka nao.
Sawa?

I miss warumi
 
Dah majukumu haya! Mbutananga kaolewa? Vipi kuhusu ugomvi wa resty na Rachel miwaya wa mange ilikuwaje ndugu zangu nijuzeni yashanipita haya cariha Joannah naona mko vizuri ktk hili
 
Maisha yanaenda kasi sana, ila kiukweli kuishi na mwanamke mwenye hela na kakuzidi umri tusidanganye huwa hakuna furaha!
Hapo dogo kapata ajira akichukua mafao yake tu nduki!
 
Dah majukumu haya! Mbutananga kaolewa? Vipi kuhusu ugomvi wa resty na Rachel miwaya wa mange ilikuwaje ndugu zangu nijuzeni yashanipita haya cariha Joannah naona mko vizuri ktk hili
Mbutananga kaolewa na hechibii moja matata la kisukuma wahenga walinena kila Jambo na wakati wake nampongeza mno mbutananga aisee.
Rest na Rachel bado wanachambana, huwa wanatulia na kuanza upya Yani ni ka wote ni mwezi mchanga
 
Back
Top Bottom