Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Uko sahihi break up yoyote huacha maumivu makali moyoni kwa wahusika wote na inachukua mda ku recover hao wanaokimbilia mahusiano mapya huwa wanafikiria ka njia ya kujiponyesha kumbe wapi, nikutesa tu mtu mpya ili kupunguza maumivu.

mapenzi yanaumiza mno....popote ulipo uliyeupiga miba moyo wangu Mungu anakuona!!!!!!!!!!!
 
Watanzania hutumia excuse ya kuzaa na kujiachia, nampenda mama watano five kid's still looking amazing. Kuzaa sio hoja ya kujiachia, duniani hamna mtu mnene aisee
Hapana cariha, wanene tupo aisee sema ni unene wa kiwango gani mtu ndio unatakiwa ujicontrol... mimi nikipungua nikawa mwembamba natisha
 
Wadada wa mjini wana mashauzi balaa ukimuachia vitu utajuta kuringishiwa ona mond ikabidi adai nyumba aliona mambo mazito.

Bado anapika ila duh ugali 2000 aiseee
Resty bado hajajenga kapanga ndo alikuwa kwa process, hafu sikuhizi sio kaacha umama ntilie?
Baba watoto alipoona resty kaolewa na mwanaume mwingine akamyang'anya resty vitu, Ila naye ana kawivu kabaya
 
Mimi mwenyewe juzi nikishangaa napita kwenye page naona ndoa..heeh!! Nikakumbuka siku za nyuma niliona page ya umbea ikimchamba nikajua ni chuki tu sababu ndivyo page za umbea zilivyo..mmhh!!

Ila inasemekana mumewe alioa mke wa pili Mambo yakawa si Mambo nayeye akaamua kukwapua huyo kibe10 kwa mwanamke mwingine..cheeiii!! ..kikubwa furaha yake.
 
Watanzania hutumia excuse ya kuzaa na kujiachia, nampenda mama watano five kid's still looking amazing. Kuzaa sio hoja ya kujiachia, duniani hamna mtu mnene aisee
Namwambiaga bi mkubwa Lakini kichwa ngumu. Unene ni kulakula tu
 
Namwambiaga bi mkubwa Lakini kichwa ngumu. Unene ni kulakula tu
Very true hafu huku Tanzania tunakula mawanga nafaka, bila hata matunda too much nyama nyama, kwanini usinenepe ka tembo jamani
 
Wadada wa mjini wana mashauzi balaa ukimuachia vitu utajuta kuringishiwa ona mond ikabidi adai nyumba aliona mambo mazito.

Bado anapika ila duh ugali 2000 aiseee
Na alikuwa ana dorishia balaa baada ya baba mtoto kutoka jela kamnyanganya vitu
 
mapenzi yanaumiza mno....popote ulipo uliyeupiga miba moyo wangu Mungu anakuona!!!!!!!!!!!
Kweli mapenzi yanaumiza Bora uvunjike mguu utapona haraka, Ila kuumizwa hisia inachukua miaka kupona aisee, na ukipona maumivu yake Moyo unakuwa umepata immunity ya maumivu mengine aisee. Mimi ilinichukua mda Sana kupona na mbaya watu huumiza watu waliokuwa wema kwao bila kosa, na ukitendwa si vema kuumiza wengine wasio na kosa, Bora ujipe break ya mahusiano.
 
Ukipofu huo, ni mwanamke gani alifanikiwa kwa kuolewa na KiBen10? Angekuwa anajielewa asingeolewa na kiBen10.
Sio kila mwanaume alozidiwa umri na mwanamke ni kiben10 kwa tafsiri ya mjini,wengine wanajielewa sana na mapenzi hayachagui umri...la muhimu tumuombee Upendo ndoa njema
 
Hakuwa punda alikuwa bwanaake,Rachel lina miwivu lihawara lake zee bayaaaa!!!
Hahaaaa, hivi resty ugomvi wao na Rachel huwa Nini pamoja na mange daily kutukana, nilicheka nilivoona yule mubabu wa Rachel jamani si anatumia mkongojo yule, Kuna kipindi aliringishia ndoa sijui kikaishia wapi?
 
Sio kila mwanaume alozidiwa umri na mwanamke ni kiben10 kwa tafsiri ya mjini,wengine wanajielewa sana na mapenzi hayachagui umri...la muhimu tumuombee Upendo ndoa njema
I can bet, watu wote waliooa wanawake zaidi ya umri wao hata mwaka mmoja tu, huwa wanapata shida sana katika ndoa. Lazima akuchukue kama mdogo wake, sembuse akuzidi 10, hata kama mwanaume siyo marioo lakini chamoto kiko pale pale
 
haha eti holiday Dubai..itakuwa na mumewe anazo pia bana

Unasema zile kuku za resty anazouza paja moja na ndizi mbili kwa elfu 10 ni zuga tu? Kwamba kuna chanzo kingine nyuma ya pazia? Ila kusema kweli nnawajua wauza chipsi kuku wengi mtaani hawajawahi kwenda holiday dubai kama resty
 
Back
Top Bottom