JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Wazazi wao waliwaachia pesa na biashara za maana. Umeona ee na vinywele vyake visivyo na shukrani pesa ipo si viote tu na kustawi kama shamba lake la mboga mboga.
Mimi swali langu hivi ile nyumba yenye swimming pool ilikua ya mwanamke au ya yule mume wake? Mbona hadi sasa anaishi huyu mama? Je huyu mama anamiliki ule mjengo kwa kazi ya umama ntilie? Swali gumu sana au ni nyumba ya urithi?