Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

King'amuzi kikiisha wife anarekebisha .

Hapo unaweza ukakuta hiyo ndoa hata hajachangia hata senti, kuanzia kanzu mpaka boxer kasimamia mwanamke,hana kitu kaenda kuoa yy na korodani zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiih mbavu zinauma khaaaah
 
Naona leo kamati kuu ya umbea ipo kwenye kikao kujadili masuala ya umbea kwa ujumla wake wajumbe wanaonesha viwango vya juu kabisa ktk uchambuzi juu ya umbea.

Binafsi nawatakia mjadala mwema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Mie hata wiki moja siwezi ishi naye! Hakawii kuwa anasikiza tu bongofleva na matamthilia ya sultan sijui kara sevda sijui😆😆!
Basi tu imekuwa trend ya kijinga Sana...wewe umri Kama wa huyu dada unahamu gani Tena kuishi na mwanamume mwingine? Unawaonesha Nini wanao? Si ana binti kbs huyu? Unashindwaje kukaa na wanao ukawalea tu? Kama ni Mahusiano yako yawe ya Siri sirini! Eti unaachika unaenda kuolewa Tena oyeee🤧🤧🤧!tena unaolewa na bongofleva..hutaacha ona rangi zote
Exactly
 
Nasikia mumewe alioa mke wa pili walivyokua wanapendana jamn tusiamini Sana couple za mitandao wanaonekanaga Kama wako perfect
Inawezekana mwanaume alimpendea pesa za urithi so alivyotimiza yake akasepa,na ukimuangalia vizuri huyo mama anaonyesha wazi hana furaha na tabasamu ni lakulazimisha tu inaonekana kuvunjika kwa hyo ndoa kulimuumiza, hyo sub aliyoifanya haiwezi kuziba nafasi ya aliyetoka.
 
Upendo ukiacha udada wa mjini tangu enzi hizo(misigara,mipombe mikali na makorokoro yote)anajielewa vyema tu na namkubali vibaya mno...Mmungu amfanyie wepesi kwa kila jambo na amuondolee yenye shari na yeye.Tukiona ndoa inavunjika tujifunze kutonyoosha vidole.
 
Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya kifahari, magari na hujinasibu mumewe Dr. Baba Iman baba wa mwanae mmoja humpa support kubwa Sana.

Tulizoea kuona akipost picha za mumewe huyo na yeye na mtoto. Alimpa sofa zoote. Huyu dada ni kioo Cha jamii na wanawake wengi yeye ndo 'role model' wao. Mara ghafla naona Tena KAFUNGA NDOA na kijana mwingine. Je ni Nini KILIMPATA YULE mume wake baba Iman, daktari wake wa maradhi yote? Cc warumi

View attachment 1525867

View attachment 1525868
Kwenye Picha kama Khadija Kopa , Ukute Nyumba ya Mbweni JKT kapanga ila anavyopost kama yake,naona sasa amerudi kwenye ubonge tena ila sister ana pulling kwa jamaa yake yule 45+ hatawezana bora alivyotafuta youngblood 25 ampelekee moto wa hatari.
 
Huyu open kitchen sidhani ka kaolewa kiupendo nadhani anamkomoa mumewe aliyeoa dada mwingine mrembo kuliko yeye. Na inakuwaje dada mzima anaolewa na katoto ka tisini na kitu karibia 2000 naona hapo hamna ndoa ni Kama mama kaoa mwanawe
Naomba handle ya mumewe wa zaman insta,kama unaijua.
 
Inawezekana mwanaume alimpendea pesa za urithi so alivyotimiza yake akasepa,na ukimuangalia vizuri huyo mama anaonyesha wazi hana furaha na tabasamu ni lakulazimisha tu inaonekana kuvunjika kwa hyo ndoa kulimuumiza, hyo sub aliyoifanya haiwezi kuziba nafasi ya aliyetoka.
Ni kweli masikini.. Ukimuangalia kwa makini deep down she looks sad.. But Mungu amsaidie apate amani na furaha.. Watu wanapitia maumivu makali mnoo
 
Upendo ukiacha udada wa mjini tangu enzi hizo(misigara,mipombe mikali na makorokoro yote)anajielewa vyema tu na namkubali vibaya mno...Mmungu amfanyie wepesi kwa kila jambo na amuondolee yenye shari na yeye.Tukiona ndoa inavunjika tujifunze kutonyoosha vidole.
So true my dear... Kuna mengi sana na pia kuna second chance always, so let wish her happy marriage
 
Ndoa ilivunjika zaman mno akaona aibu kuweka wazi,alifanya sana jitihada za mazoezi waapii mwili ndo kwanzaa unastawi.

Kama ilivyo kawaida ya wadada wa mjini kufuga mashost kama james delicious si ajabu bibie alipokonywa mume na shost mmoja au jamaa aliamua kujisogeza pembeni kwa mke wa pili

Mimi swali langu hivi ile nyumba yenye swimming pool ilikua ya mwanamke au ya yule mume wake? Mbona hadi sasa anaishi huyu mama? Je huyu mama anamiliki ule mjengo kwa kazi ya umama ntilie? Swali gumu sana au ni nyumba ya urithi?
 
Back
Top Bottom