KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,797
Uko sahihi break up yoyote huacha maumivu makali moyoni kwa wahusika wote na inachukua mda ku recover hao wanaokimbilia mahusiano mapya huwa wanafikiria ka njia ya kujiponyesha kumbe wapi, nikutesa tu mtu mpya ili kupunguza maumivu.
mapenzi yanaumiza mno....popote ulipo uliyeupiga miba moyo wangu Mungu anakuona!!!!!!!!!!!