Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
karibia miaka miwili haitoshiTatizo la kukurupuka huyu aliitaji muda kidogo wa kutulia baada ya ndoa ya kwanza kuvunjika aje apate mtu sahihi yeye siku chache kaanza kupost mipicha ya kuolewa tena.
au anatakiwa akae muda gani?