karibia miaka miwili haitoshiTatizo la kukurupuka huyu aliitaji muda kidogo wa kutulia baada ya ndoa ya kwanza kuvunjika aje apate mtu sahihi yeye siku chache kaanza kupost mipicha ya kuolewa tena.
Nasikia jamaa alikuja kuwa anakula maids wa harusi. Dada kamtupia jamaa nguo nje kwenye Shangazi kaja. Kwa Sasa jamaa anahaha kuomba msamaha anadai njaa kaliSachko nasikia nae ndoa na yule Serengeti wake chali
yaaan dea wee noumer una kiwasha tyuuuh, wala hujari[emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaah kweli status muhimu ndan ya relationship.Ukishajijua Hali yako unajiepusha na mahusiano
Best kwan hujui menina kaumbuliwa na ka kijana alikokua anakafanya house boy, kumbe ndo ka ki been10 kake,Menina kafanyaje tena hebu dadavua
Aibu Sana. Ndo maana Serengeti mwimbaji akaamua kuoa katoto kadooogoBest kwan hujui menina kaumbuliwa na ka kijana alikokua anakafanya house boy, kumbe ndo ka ki been10 kake,
sasa akakasingizia kameiba hela, wee sio kwa mkaka yule mweeee alitema cheche kali za moto, insta kulichafuka, kumbe menina ni tapeli na mwizi na ana madeni kibao.
Uwiiiiiiiih
Vibeten sio vya kuendekeza tena na ule mwili apumzike tu mwishowe vibeten mvikule binti yakeHaswaaaah kweli status muhimu ndan ya relationship.
Huyu menina mbona anahangaika hvo ka pisi kikaangoni, hajakoma tu na mwijaku sasa kaumbuliwa viben ten sio watu vinakuzalilisha mchana kweupe, Ila menina naye kashindikana ndoa tatu ximemshinda zoteBest kwan hujui menina kaumbuliwa na ka kijana alikokua anakafanya house boy, kumbe ndo ka ki been10 kake,
sasa akakasingizia kameiba hela, wee sio kwa mkaka yule mweeee alitema cheche kali za moto, insta kulichafuka, kumbe menina ni tapeli na mwizi na ana madeni kibao.
Uwiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyo menina anavojibu bas m2 unacheka wee had tumbo linakata, khaaaah dunia tamuu hii wallahHuyu menina mbona anahangaika hvo ka pisi kikaangoni, hajakoma tu na mwijaku sasa kaumbuliwa viben ten sio watu vinakuzalilisha mchana kweupe, Ila menina naye kashindikana ndoa tatu ximemshinda zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeeeh mjin patamu woiiiiiiiiiiiih, eti serengeti mwimbaji khaaaaah.Aibu Sana. Ndo maana Serengeti mwimbaji akaamua kuoa katoto kadooogo
Na vitamkula tyuuuh yule binti ake. Then akili ita mkaa fresh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vibeten sio vya kuendekeza tena na ule mwili apumzike tu mwishowe vibeten mvikule binti yake
Kutulia sio kukaa miaka mingi bila uhusiano bali ni kutuliza akili na kuchagua kwa umakini mkubwa na sio kuingia kichwa kichwa mwanangu.miaka mitatu unasema kakurupuka ulitaka akae mpake buibui aweke utandu...maisha ni haya haya mapenzi ni kubeti hayanaga formula unaweza kaa miaka hata 20 ukaja okota kapi
labda wanaume wa sayari tofauti ila hawa wetu no bahati nasibu unaweza tuliza akili ukaopoa dude likakuektia picha la kihindiKutulia sio kukaa miaka mingi bila uhusiano bali ni kutuliza akili na kuchagua kwa umakini mkubwa na sio kuingia kichwa kichwa mwanangu.
Tatizo la baadhi ya wanawake wanaume waliotulia hawawataki ,wanataka walamba lips ,wavaa suruali za kubana ,wavaa supra ,wanaoweka waves ,kuvaa miwani mikubwa na kupaka scrub!! Sasa mwanamme kama huyo lazima atakuwa na mambo mengi!!labda wanaume wa sayari tofauti ila hawa wetu no bahati nasibu unaweza tuliza akili ukaopoa dude likakuektia picha la kihindi
Sure na mwanaume aliyetulia hawezi kwenda kujilipua kwa Makabati. Mm nimekula Sana enzi nasoma chuo maana sisi toka familia duni Chuo hatuna (pesa za kuhonga) Zaid ya Mkopo nikawa nakamua mke wa mchungaji wetu. Basi siku tunaenda kutifuana anakuja na msosi kwenye ma-hotpot nakula kabisa kabla ya kupanga ulingoni. Aisee yule maza kumfanya mpaka akojoe ilikua kazi Sana. Ila akikojoa analegea na usingizi juu. Nimepiga mpaka nilipomalizana 4th year enzi zile LLB tunaenda Internship (kabla ya Law school) nilioomaliza tukapotezana tumekuja kuonana 2019 nikala kimoja kwa ndomuTatizo la baadhi ya wanawake wanaume waliotulia hawawataki ,wanataka walamba lips ,wavaa suruali za kubana ,wavaa supra ,wanaoweka waves ,kuvaa miwani mikubwa na kupaka scrub!! Sasa mwanamme kama huyo lazima atakuwa na mambo mengi!!
ndugu yangu weee kuna wengine hata huo usharobaro hawana lakini hawajatuliaTatizo la baadhi ya wanawake wanaume waliotulia hawawataki ,wanataka walamba lips ,wavaa suruali za kubana ,wavaa supra ,wanaoweka waves ,kuvaa miwani mikubwa na kupaka scrub!! Sasa mwanamme kama huyo lazima atakuwa na mambo mengi!!
Hakuna mtu perfect hata mmoja ,hata hao unaoona wamesherekea jubilee ya miaka 25 ya ndoa wamepitia changamoto nyingi ,vitabu vya dini vinasema wanawake wawapende waume zao na wanaume waishi na wake zao kwa akili.....Sasa Open Kitcheni hata miezi 6 ya ndoa hajamaliza kashaachana na kiben 10 sasa hapo kuna upendo kweli? Akiendekeza kuolewa kuacha si atakuja kufikisha wanaume 50? Ndoa ni uvumilivu hakuna mtu perfect.ndugu yangu weee kuna wengine hata huo usharobaro hawana lakini hawajatulia
Very sad, hivi mnatuchukuliaje sie vibonge? We don’t deserve to be in love? ☺️☺️
Shilole na shamsa wana matumbo flat[emoji15][emoji15][emoji15]Ila Kitchen ni BONGE SANA!! Mimi napenda madem wenye nyama (tako+hips) ila awe na tumbo flat!! Inatakiwa uwe bonge amazing kama kina shilole ,shamsha ford ila sio BONGE SHAPE YA KABATI AU TIKITI MAJI.