Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Nasikia huyu kadakwa na madawa ya kulevya huko nchi za wenyewe
 

Attachments

  • 09.03.56_cd4df1ca.mp4
    1.5 MB
Ila kibongobongo usijisikie unyonge kwa Utajiri wa mtu mwingine
Kwa nini mzee mimi nimetembea sana nimeona haya mambo nikiandika nyuzi humu mtakua mnasoma kila kukicha wengine wamefungwa Hong Kong wengine wamenyongwa China jamaa tunaowafahamu kabisa wengine wametupwa huku wamefungwa mawe huko bahari ya Msumbiji na kufia baharini ila wanapokua wanarudi bongo kama pana kitu wanafanya kumbe ni kuuza sumu..
 
Wauza sumu wengine wamejificha na biashara za kuzuga South-Msumbiji na Bongo
 
Wauza simu wengine wamejificha na biashara za kuzuga South-Msumbiji na Bongo
Hawajifichi na biashara yeyote wapo wazi hakuna kitu wanaweza kufanya zaidi ya sumu tu. Muuza sumu hawezi kuuza gari ambalo mteja atakuja kulikagua mara aulize ni diesel automatic sijui wakati kazi yake haina hizo mambo zote ikifika ni hela tu hasara yao ni kukamatwa.
 

Wewe umeacha siku hizi?
 
True mfano yule muuza mchicha hadi ulaya katiwa nyavuni airport itakuwa aliwauzia mchicha bangi
 
Mbona huyo ni maji ya kunde/ana rangi wakati muuza mchicha ni black kabisa?
Sio muuza mchicha huyo alokamatwa, muuza mchicha tunaye na tunatamba nae anatupikia mix mix.
Wanamsagia kunguni mdada wa watu, wa kishua mwenyewe, mihela kaikuta ya urithi....mamake alisomaga Havard enzi hizo plus alikuwa mpambanaji....na yeye karithi hela na kupambana.
Watuachie Loveness wetu.
 
Ikifika karibu na mfungo wapenda ngono unogewa sana na ndoa za mfungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…