Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Sijatukana mamba Ila unene wetu wa Africa ni ulaji wa wanga mwingi lakini mazoezi hamna hasa wa mjini vijijini huko ni nadra kukuta watu wanene, hata Mimi nikitulia tu bila mazoezi mwili huja kwa Kasi ya 4g hata tunafanya nao mazoezi walikuwa wanene Sana sikuhizi wamekuwa wembamba Hadi inashangaza. So unene ni choice yako na ulaji tu Wala haihusiani na kutukana mamba au nini
Mazoezi bila mpangilio wa kula ni kazi bure. Mtu unafukia miwanga , bia , kitimoto etc halafu kila siku uko gym, my friend utakuwa tufe.
 
Dada anafanya mazoezi huyu lakini minyama haimuishi. Madaktari hii imekaaje?
 
Dada anafanya mazoezi huyu lakini minyama haimuishi. Madaktari hii imekaaje?

Mwili unatokana na misosi tu ,mazoezi ni % ndogo sana yanapunguza mwili.

Hata ukifanya mazoezi masaa 24 kama unaendelea na utaratibu wa kula vile vile lazima utafutuka tena mara nne ya awali.
 
Mwili unatokana na misosi tu ,mazoezi ni % ndogo sana yanapunguza mwili.

Hata ukifanya mazoezi masaa 24 kama unaendelea na utaratibu wa kula vile vile lazima utafutuka tena mara nne ya awali.
Huyu anafanya mazoezi sana jamani. Ilitakiwa nyama zipungue kidogo..ila kama unavyosema atakuwa anafakamia msosi kupita maelezo
 
Huyu anafanya mazoezi sana jamani. Ilitakiwa nyama zipungue kidogo..ila kama unavyosema atakuwa anafakamia msosi kupita maelezo
Eheee anafakamia kama kawaida,unene ni kula sana tu so soultion ya kupungua ni kupunguza kula sana yaani utapungua bila zoezi.

Namuona sana anafanya mazoezi ya kukimbia Ununio na Bahari Beach.
 
Back
Top Bottom