Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Ila wadada mna wivu jamani khaaaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23] mbona nyinyi mkiolewa na vibabu magentleman hawa wa diss nyinyi wadada wadogo au hivyo vibabu vyenu shame on you wadada wote mnao waongelea vibaya wadada walio olewa na wanaume walio wazidi umri.

Age is just a number na kama umri ungekua una matter kiasi hicho mbona alishindwana na mumewe wa kwanza ambae hakukua na gape la age???? Jamani hukuna anaependa kero na mauzi kama kuna option nyingine yakutengeneza furaha yako fanya hivyo.

Alafu kwanini mnasema mwanamke ukifika umri flani asiolewe alee watoto tuu au kama akiwa na mahusiano yawe ya siri[emoji15][emoji15][emoji15], kitabu gani cha dini kimeandikwa hivyo au mwana philosopher gani alipendekeza iwe hivyo???? Narudia tena wadada acheni wivu older womans/ Baby mamas gotta have a life too.
Umemaanisha tu au umeamua kujikosha kwa jinsia pinzani? Mimi binafsi siwezi kumpangia mtu aolewe na nani, hata bibi wa miaka 60 aolewe na kijana wa miaka 20 siwezi kuwajudge...ni mapenzi yao. Lakini kusema wanaume huwa hawawasemi wanawake wanaoolewa na vibabu ni uongo wa mchana kweupe, hebu soma humu nyuzi zinazowazungumzia wanawake kama kina Jack Mengi uone hao unaowasifia walivyomwaga povu
 
Hivi watu mnatumia vigezo gani kusema,huyu mama kaolewa na kijana mdogo

swali langu lipo hapo kwenye neno kijana mdogo mnampima mtu kwa kigezo gani

mpaka mnagundua ni mdogo,mtoto,serengeti boy,nk hebu nisaidieni hiyo elimu namimi inisaidie.
Wewe ukikutana na mtu usiyemfahamu let's say umeenda ofisini fulani unajuaje kuwa huyu mtu natakiwa nimuamkie shikamoo, habari au mambo?
 
Kumjua mtu alienizidi umri hakuhitaji degree ktk hilo,nikikuangalia tu najua unastahili shkamoo yangu lakini ni mpaka tuwe uso kwa uso kadhalika ktk salamu kama habari yako,mambo,nk hizo pia najua wapi pakuzitumia.

lakini sijawahi kujua huyu ni mkubwa kwangu au mdogo kwangu kwa kuishia tu kuangalia picha/muonekano wa mtu (kama simjui muhusika) tofauti na watu kwenye hii thread walivyoweza kugundua mume wa upendo (ni mdogo kwa mke wake) kwa kutazama picha tu .

ndio maana nimeomba kusaidiwa kuelimishwa na mimi njia gani zinatumika kwenye PICHA kugundua huyu ni mkubwa kwa flani na huyu ni mdogo kwa flani kupitia picha tu.
 
Kwani kuna utofauti mtu akiwa live na akiwa kwenye picha? Mtu si yuleyule tu? Kama ni mkubwa hata akiwa kwenye picha ataonekana vilevile na ukubwa wake na akiwa mdogo vivyo hivyo
 
kama mtu wa kwenye picha ni sawa na mtu akiwa live,basi mimi niishie hapa muheshimiwa.
 
Kumjua mtu alienizidi umri hakuhitaji degree ktk hilo,nikikuangalia tu najua unastahili shkamoo yangu lakini ni mpaka tuwe uso kwa uso kadhalika ktk salamu kama habari yako,mambo,nk hizo pia najua wapi pakuzitumia.

lakini sijawahi kujua huyu ni mkubwa kwangu au mdogo kwangu kwa kuishia tu kuangalia picha/muonekano wa mtu (kama simjui muhusika) tofauti na watu kwenye hii thread walivyoweza kugundua mume wa upendo (ni mdogo kwa mke wake) kwa kutazama picha tu .

ndio maana nimeomba kusaidiwa kuelimishwa na mimi njia gani zinatumika kwenye PICHA kugundua huyu ni mkubwa kwa flani na huyu ni mdogo kwa flani kupitia picha tu.
Pendo mwenyewe alishasema yeye Ana 39 mumewe Ana 31
 
Ila wadada mna wivu jamani khaaaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23] mbona nyinyi mkiolewa na vibabu magentleman hawa wa diss nyinyi wadada wadogo au hivyo vibabu vyenu shame on you wadada wote mnao waongelea vibaya wadada walio olewa na wanaume walio wazidi umri.

Age is just a number na kama umri ungekua una matter kiasi hicho mbona alishindwana na mumewe wa kwanza ambae hakukua na gape la age???? Jamani hukuna anaependa kero na mauzi kama kuna option nyingine yakutengeneza furaha yako fanya hivyo.

Alafu kwanini mnasema mwanamke ukifika umri flani asiolewe alee watoto tuu au kama akiwa na mahusiano yawe ya siri[emoji15][emoji15][emoji15], kitabu gani cha dini kimeandikwa hivyo au mwana philosopher gani alipendekeza iwe hivyo???? Narudia tena wadada acheni wivu older womans/ Baby mamas gotta have a life too.

Mahusiano mengi ya aina hii aliyoyaingia sasa huwa yanaishia kuwaingiza wakinamama wengi kwenye mataa.. ataumia tu tena zaidi ya awali. Mara nyingi hao vijana wakishatoa tongo tongo ya maisha (pesa) wanatafuta dogo dogo wenzao. Ndio wadau wanamuhurumia hapo.. anavuka mkojo anakanyaga kinyesi. Japo ni maisha yake, maumivu yake.
 
Back
Top Bottom