Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Umemaanisha tu au umeamua kujikosha kwa jinsia pinzani? Mimi binafsi siwezi kumpangia mtu aolewe na nani, hata bibi wa miaka 60 aolewe na kijana wa miaka 20 siwezi kuwajudge...ni mapenzi yao. Lakini kusema wanaume huwa hawawasemi wanawake wanaoolewa na vibabu ni uongo wa mchana kweupe, hebu soma humu nyuzi zinazowazungumzia wanawake kama kina Jack Mengi uone hao unaowasifia walivyomwaga povuIla wadada mna wivu jamani khaaaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23] mbona nyinyi mkiolewa na vibabu magentleman hawa wa diss nyinyi wadada wadogo au hivyo vibabu vyenu shame on you wadada wote mnao waongelea vibaya wadada walio olewa na wanaume walio wazidi umri.
Age is just a number na kama umri ungekua una matter kiasi hicho mbona alishindwana na mumewe wa kwanza ambae hakukua na gape la age???? Jamani hukuna anaependa kero na mauzi kama kuna option nyingine yakutengeneza furaha yako fanya hivyo.
Alafu kwanini mnasema mwanamke ukifika umri flani asiolewe alee watoto tuu au kama akiwa na mahusiano yawe ya siri[emoji15][emoji15][emoji15], kitabu gani cha dini kimeandikwa hivyo au mwana philosopher gani alipendekeza iwe hivyo???? Narudia tena wadada acheni wivu older womans/ Baby mamas gotta have a life too.