Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Open anaringia pesa za urithi japo anajitahidi kuziendeleza,hivyo alijiamini mwanaume hawezi lolote mbele ya zile pesa. Hata huyu aliyenae lengo likitimia kijana anaondoka mapemaa
[emoji3][emoji3]wewe ndo lile gazeti linasemaga mtoa taarifa wetu shushushuu kabambe jirani kabisa na bibi harusi...akupenda jina lake kuandikwa ndiye katutonya msala mzima??
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Serengeti boy hajaiba Kama yule Mama wa Uturuki?
Hahaha hajaiba,huyu niliona kwenye page za umbea eti alifungiliwa biashara akawa haitak anataka ile office mpya ya open kitchen ya airport . Ndo mwanamama kaona cha kufia nini kapiga chini,tena alipost anaosha gari yake na caption ya "cleaning out my ex"

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Serengeti alikua Dini gani?
 
Hahaha hajaiba,huyu niliona kwenye page za umbea eti alifungiliwa biashara akawa haitak anataka ile office mpya ya open kitchen ya airport . Ndo mwanamama kaona cha kufia nini kapiga chini,tena alipost anaosha gari yake na caption ya "cleaning out my ex"

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Itakuwa ni Ile biashara ya kilimo Cha mbogamboga, mido[emoji3590][emoji3590]hataki kukima[emoji16][emoji16][emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom