Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Hivi mtu kama open kitchen anatafuta kibwana cha nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijuzi tu wamefunga ndoa hawa?Naskia ndoa imeota mabawa [emoji23]
Eeh bhna inasemekana ndoa imeshasambaratika. Hata ukicheki post zake insta ile signature ya "MIDO ❤️" saivi haipoSijuzi tu wamefunga ndoa hawa?
Haswaaaaaaah umenena joh.Kuzaliwa ni siku moja na kufa ni siku moja tu cha msingi kuangalia kile ambacho kinakupa furaha hata mamilioni ya watu watafikiria tofauti ilihali kwako kuna ahueni acha maisha yaendelee .
Let love heal the world
Weee usinambie lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah hatareeeeh mweeehNa jana alipost kuwapa moyo Wanawake wasichoke kuanzisha mahusiano mapya[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Wameachanaa?Weee usinambie lol
Serengeti boy hajaiba Kama yule Mama wa Uturuki?Weee usinambie lol
[emoji3][emoji3]wewe ndo lile gazeti linasemaga mtoa taarifa wetu shushushuu kabambe jirani kabisa na bibi harusi...akupenda jina lake kuandikwa ndiye katutonya msala mzima??Open anaringia pesa za urithi japo anajitahidi kuziendeleza,hivyo alijiamini mwanaume hawezi lolote mbele ya zile pesa. Hata huyu aliyenae lengo likitimia kijana anaondoka mapemaa
[emoji3][emoji3]wewe ndo lile gazeti linasemaga mtoa taarifa wetu shushushuu kabambe jirani kabisa na bibi harusi...akupenda jina lake kuandikwa ndiye katutonya msala mzima??
Hahaha hajaiba,huyu niliona kwenye page za umbea eti alifungiliwa biashara akawa haitak anataka ile office mpya ya open kitchen ya airport . Ndo mwanamama kaona cha kufia nini kapiga chini,tena alipost anaosha gari yake na caption ya "cleaning out my ex"Serengeti boy hajaiba Kama yule Mama wa Uturuki?
MapemaaaaaaaahWameachanaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lile suala, la ma2 was uturuki n motoooooh mweeeehSerengeti boy hajaiba Kama yule Mama wa Uturuki?
Hujui?Hivi mtu kama open kitchen anatafuta kibwana cha nini
Huyo Serengeti alikua Dini gani?Hahaha hajaiba,huyu niliona kwenye page za umbea eti alifungiliwa biashara akawa haitak anataka ile office mpya ya open kitchen ya airport . Ndo mwanamama kaona cha kufia nini kapiga chini,tena alipost anaosha gari yake na caption ya "cleaning out my ex"
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Itakuwa ni Ile biashara ya kilimo Cha mbogamboga, mido[emoji3590][emoji3590]hataki kukima[emoji16][emoji16][emoji13][emoji13]Hahaha hajaiba,huyu niliona kwenye page za umbea eti alifungiliwa biashara akawa haitak anataka ile office mpya ya open kitchen ya airport . Ndo mwanamama kaona cha kufia nini kapiga chini,tena alipost anaosha gari yake na caption ya "cleaning out my ex"
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mama wa uturuki ni ipi hiyo Tena jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lile suala, la ma2 was uturuki n motoooooh mweeeeh