Upepo kisiasa umebadilika, Lissu aongezewe ulinzi

Hii ndiyo iliyokuwa bahati mbaya zaidi. Ukizingatia wanaweza kuwa ni wale wale waliokuwapo Dodoma siku Ile.
Lakini aliyekuwa anawatuma wakati ule sasa hayupo, naamini hawa wanaogopa wakijaribu watachukuliwa hatua.
 
Kumbe upepo ukibadilika unaendana na ulinzii

Unasema au unauliza ndugu?

Screenshot_20230203-080505.jpg

Kama unauliza, hapo juu upepo umebadilika.
 
Lakini aliyekuwa anawatuma wakati ule sasa hayupo, naamini hawa wanaogopa wakijaribu watachukuliwa hatua.

Kwa hali ilivyo hiyo haitoshi. Washirika wa aliyekuwa akiwatuma wangalipo. Waliokuwa wakitumwa wangalipo. Waliojiapiza kuwa wangetekeleza wangalipo.

Mahasimu wake kisiasa wapo. Maadui wa ndani wapo. Maadui wa nje wapo.

Was he assassinated? Bishop Muge’s death remains a mystery

Bishop Alexander Muge Kenya aligongwa na lorry.
 
Kama hakufa 07/09 hawezi kuuliwa na mtu
 
Wala hamna tatizo, unafikiri waliotaka kumuua Lissu Mama Samia hawajui? as long as Rais kashasema mikutano ruksa nani wa kuguna?

Hii Katiba ndigu yangu ni Rais ndiyo kila kitu, unafikiri Lissu mjinga angekuja bila kauli ya Rais ?
 
Lissu Hana ajenda yoyote mpya ni yaleyale ya nilipigwa nilipigwa ,,hakuna ajenda ataropoka ropoka bila badae huyo ubelgii
 
Hapa kwenye wa ndani na nje ni pa kupaangalia vyema.

Revisiting the Aquino assassination: 39 years later

Pillipines aliuwawa Aquino bila Marcos aliyekuwa rais kuijua njama.
 
Hapa kwenye wa ndani na nje ni pa kupaangalia vyema.

Pillipines aliuwawa Aquino bila Marcos aliyekuwa rais kuijua njama.
siyo kwa Tanzania hii ndugu.
 
Siyo siri tena kuwa tangia kurejea nchini kwa mwanasiasa TAL, hali ya kisiasa nchini imebadilika kabisa.

Haipo shaka kuwa huyu ndiye mwanasiasa anayefuatiliwa zaidi kwa sasa hapa nchini na makundi yote. Humo wamo wafuasi wa chama chake na hata wafuasi wa vyama hasimu, chawa na viongozi wao bila kuwasahau watanzania wengine.

Tathmini ya kawaida mitaani na kwenye mitandao inaonyesha hivyo. Kwa hakika haihitajiki TWAWEZA kuthibitisha hilo.

Wapo ambao kwenye kujitoa kimasomaso wametaka kumkejeli na hata kutaka kukejeli kushambuliwa kwake Dodoma. Wapo ambao wana wivu kama ule wa Six, wenye hata kutamani wao wangekuwa huyu mwamba. Wapo wenye kuchukizwa na popularity yake. Wapo wenye kujidhania kuwa ni bora zaidi kwanini iwe huyu, nk nk.

Zaidi sana wapo waliomfyatulia risasi na hata wale wenye lao jambo, walioliratibu shambulizi zima kule Dodoma.

"Yapo pia mataifa hasimu yanayotuzunguka ambayo yanaweza kupenda kuukaanga mbuyu."

Kwa hakika itakuwa kujidanganya sana kudhani kuwa eti hali ni shwari bin sawia.

"TAL na CHADEMA chonde chonde, uinzi unasibu uhalisia."
GengeS

Genge S nalo lifuatiliwe.
 
Lissu Hana ajenda yoyote mpya ni yaleyale ya nilipigwa nilipigwa ,,hakuna ajenda ataropoka ropoka bila badae huyo ubelgii

Kwa sababu hizo ndiyo maana anafuatiliwa mno labda kuliko mwingine yeyote hapa nchini?

Labda ungezipitia tena sababu zako kuona kama zinaweza kumshawishi yeyote?
 
Back
Top Bottom