Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata Trump alichaguliwa na Wamarekani.Upo very clear, Samia harudi tena Ikulu. Atakuwa kama Trump tu, one term president.
Kiukweli kwa dunia ya sasa fedha ndio kila kitu na si matokeoTulikosea kwenye duplication ya siasa safi na uongozi bora, ni kitu kile kile, mtaji una miss hapo, ili kuendana na theory ya Adam Smith ya Land, labor, capital na entrepreneurship, kosa la Nyerere ni moja tuu kusema fedha sii msingi, fedha ni matokeo, kiukweli fedha ni msingi sana!, and in fact, fedha ndio kila kitu!, inahamisha watu na milima!. Twigwa wawili jike na dume, wameibwa kutoka Serengeti na watu wenye fedha, wakawapeleka Dubai kwenye zoo, leo watu wanamiminika zaidi kuwaangalia twiga wa Dubai, kuliko wale wa Serengeti!.
P
Bora hata Trump alichaguliwa na Wamarekani.
Trump anajiamini sana haogopi debate wala maswali magumu ya waandishi wa habari.
Anayeamua kama anarudi au harudi sio wewe, sio mimi, sio yeye bali ni YEYE!. Kama YEYE amempangia ni Samia, 2025 ni Samia!. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!Upo very clear, Samia harudi tena Ikulu. Atakuwa kama Trump tu, one term president.
Chief regardless of who the decision maker is, I bet you with my life; she will not CONTEST for the presidency let alone winning it. Mark my words.Anayeamua kama anarudi au harudi sio wewe, sio mimi, sio yeye bali ni YEYE!. Kama YEYE amempangia ni Samia, 2025 ni Samia!. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P
Duh...!, Mkuu Nguruka , can you please share why!.Chief regardless of who the decision maker is, I bet you with my life; she will not CONTEST for the presidency let alone winning it. Mark my words.
I believe this 100%Chief regardless of who the decision maker is, I bet you with my life; she will not CONTEST for the presidency let alone winning it. Mark my words.
Karata za mama haziendi vizuri sana.Upo very clear, Samia harudi tena Ikulu. Atakuwa kama Trump tu, one term president.
Kuna vyombo inaelekea haviko katika control yake.Huyu mama hana baraka zake Mungu kukalia kiti, ndiyo maana matukio yasiyo ya kawaida yanatokea
Una 'kiona mbali' sana mkuu.Lipo genge (Cartel) hatari lililoenea na kushika kila idara na taasisi nyeti serikalini....
➡Lipo Ikulu kwa jina la "washauri wa Rais". Kazi yake ni kuhakikisha Rais anapewa taarifa zile zilizo salama kwao tu....
➡Lipo na limeiteka TISS.....
➡Lipo na limeteka maofisa wa juu wote wa Jeshi la Polisi....
➡Lipo na limeiteka Mahakama. Lina mahakimu na majaji wao maalumu kusimamia kesi zote zinazokwenda huko na ku - endanger existence yao.....
➡Lipo Bungeni. Limehakikisha kuwa kiongozi wa muhiimili huo (Spika) na baadhi ya wabunge ni wakala wao. Kila hoja inayo endanger existence ya genge hili it's either haipati nafasi kabisa kuingia na kujadiliwa na ikitokea ikaingia, basi watakaopewa nafasi ya kusema in favour ya genge hili ni wale wabunge mawakala wa genge hili. Rejea mjadala wa sakata la Bashe na sukari dhidi ya mbunge Luhaga Mpina.....
➡Genge hili lina mkono wake hadi ndani ya madhehebu ya dini kanisani na misikitini. Wapo mawakala wake ambao ni mashekhe, wachungaji na maaskofu.....
##All in all hili genge ni cartel hatari kwelikweli, very powerful financially (kifedha) na ndiyo silaha yao kuu na fedha hizi zimeibwa serikalini. Lengo ni ku - take total control ya serikali yote...
##Ili ku - restore orders & laws ktk nchi na taifa letu ni lazima mkuu wa nchi (Rais) atoke gizani, nuru imzukie na ashukue hatua otherwise yeye ndiye hasa hayuko salama na litahakikisha linamtoa madarakani....!
##Mimi sina shaka yoyote kuwa Mwigulu Nchemba (Waziri wa fedha) yumo kwenye genge hili na kuna possibility kuwa yeye ndiye kiongozi wake...!
Mimi hii point ya uchaguzi hainiingii akilini sana kwa sababu siuoni upinzani wenye nguvu, nje ya chama na ndani ya chama.Hivi unafikiri Kinana kujiuzulu ghafla ilikuwa kawaida ?
Nahisi uchaguzi ndio unaleta shida ...tena kubwa sana
Tumemkosa "Paskali"Katika kipindi hiki kifupi kama miezi mitatu hadi sita, upepo wa kisiasa hausomeki. Matukio tunayoyaona mengine si tu siyo ya Kitanzania lakini yanakinzana na hata mila, utamaduni, umoja wetu kitaifa na hata imani yetu.
Mengine ni aibu hata kuyasema maana ni laana kwa Taifa letu. Viongozi kwa sana wako kimya, kimya kizito. Kuna nini?
Wakati huo huo mikeka ya teuzi na tengua ni kila baada ya mwezi mmoja. Sasa inaelekea gundi inayotuunganisha Watanzania inazidi kuwa nyepesi.
- Watoto wadogo wanabakwa na kulawitiwa.
- Watu wanauwawa kama majuzi Mohammed Kibao wa Tanga.
- Watu wanatekwa na kutupwa maporini
Mwalimu alisema ili tuendelee, tunahitaji vitu vinne; Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi bora!
Tunakosea wapi?
Tatizo ni chawa ndio Wana haribu nchi yaani "Sirikali ndani" ya Sirikali .Kuna vyombo inaelekea haviko katika control yake.
Vinajiendesha with impunity na haviwajibiki kwa lolote au kwa mtu yeyote. Kilio cha utekaji, mauaji ni cha muda sasa lakini serikali haijafanya lolote.
Huu ni mtaji tosha wa kumchafua kabisa mama.
Duh...!.Tumemkosa "Paskali"
Duh...!.Tatizo ni chawa ndio Wana haribu nchi yaani "Sirikali ndani" ya Sirikali .
Watu wameaacha kufuata mfumo, na hii inaonekana hata katika teuzi, hivyo nidhamu ya kazi inakuwa haipo, Bali nidhamu ya "uchawa"
Hivyo kuua nguvu za mfumo kutenda kazi zake ipasavyo.
Hii Katiba yetu inahitaji "Paskali" atumie na Busara yake ili mifumo iweze kufanya kazi nayo ni kufikiria nchi Kwanza na sio chawa Kwanza.
Kwa mtindo wa ati " mkalitazame hilo" as if wewe huhusiki!Ukiwa kiongozi then huongei, hutoi maelekezo yenye msisitizo, hueleweki umesimamia wapi na unataka watu wafanye nini, hutoi warning na kuwawajibisha watu waovu, huonyeshi kuwa umekereka kutoka moyoni, hutoi mifano ya kuwawajibisha watenda maovu, huonyeshi kuwa unafuatilia mambo unayoamuru yafanyike na kikubwa husikilizi watu yaani hudeal na current issues na kusimama kwa uhodari na kufariji watu.....KAMA ni baba lazima familia ipalanganyike, kama ni MD basi meli itajiendea tu NA kikubwa watatokea watu watachukua nafasi yako, watafanya maamuzi kwa niaba yako, watavuruga then wewe tena utalaumiwa.
Zunguka kote lakini mkirudi tuandike katiba mpya ndo dawa pekee iliyobaki kama tunataka kuendelea kuwa taifa MojaKatika kipindi hiki kifupi kama miezi mitatu hadi sita, upepo wa kisiasa hausomeki. Matukio tunayoyaona mengine si tu siyo ya Kitanzania lakini yanakinzana na hata mila, utamaduni, umoja wetu kitaifa na hata imani yetu.
Mengine ni aibu hata kuyasema maana ni laana kwa Taifa letu. Viongozi kwa sana wako kimya, kimya kizito. Kuna nini?
Wakati huo huo mikeka ya teuzi na tengua ni kila baada ya mwezi mmoja. Sasa inaelekea gundi inayotuunganisha Watanzania inazidi kuwa nyepesi.
- Watoto wadogo wanabakwa na kulawitiwa.
- Watu wanauwawa kama majuzi Mohammed Kibao wa Tanga.
- Watu wanatekwa na kutupwa maporini
Mwalimu alisema ili tuendelee, tunahitaji vitu vinne; Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi bora!
Tunakosea wapi?