Upepo wa kisiasa nchini hausomeki, kuna nini?

Upinzani upo ndani na sio nje. Nguvu ya vijana wawili waliowekwa pembeni juzi Kati inachangia pia.
 
Tunakosea hapo kwenye CCM!
 
Bora hata mtangulizi wake alivuka kuingia awamu ya pili kidogo. Yeye hatoboi mbali ya hiki kiporo alichomalizia.

By 2026 kama atakuwa hai basi atakuwa busy akisimulia hadithi za alfu leila ulela kwa wajukuu zake Kizimkazi.
watu hawamtaki kabisa
 
The most important resource for development is not money, but people. They only need to be empowered and enabled. Ni nukuu toka kwa mwana sosholojia nimemsahau jina.
 
Katiba inapoleta kigugumizi kwa kiongozi kuwashughulikia wahalifu NDANI ya serikali basi katiba hiyo ni mufilisi.
 
Unabii inazidi kutimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…