Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Wala hatujui anafanya nini sasa😂Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya
alikuwa na haraka sana ya kuzunguka,alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
😂😂😂maji ataita mmaUsione Kobe kainama!
Bado hana uzoefu na uenezi, atajifunza taratibuTatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya
alikuwa na haraka sana ya kuzunguka,alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya
alikuwa na haraka sana ya kuzunguka,alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Makonda mzee wa amshaamshaBashite ni yuleyule
Hata akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar hakuna project aliyoianzisha akafanikiwa kuimaliza
Ngoja aibukie hanang hukoNchi inakabiliwa na mambo gani sa hv , CCM wote wapo Hanang , na huko unataka umsikie makonda , vyombo vya habar vyote vipo pale , daah watu mna chuki kinyama [emoji16][emoji16][emoji16] makonda vibe la media analo na hyo ni nyota haizimwi Kwa chuki
Atakuwa anataka kula vichwa vya mahasimu wake🤪Usione Kobe kainama!
Naunga mkono hojaUpepo wa hanang umepoteza harakati,kik za watu wengi
Ila mwenezi lazima atakuwa anakuja na episode mpya [emoji41]
Ova
Itakuwa sheria ya ushindi wa kishindo.Anatunga sheria [emoji41]
Ova