Upepo wa Makonda umekata mapema sana

Upepo wa Makonda umekata mapema sana

Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya
alikuwa na haraka sana ya kuzunguka,alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Subiri raundi ya pili. Ya kwanza ilikuwa Kanda ya Ziwa. Iliisha kwa mafanikio na inayofuata itaanza na kuisha kwa mafanikio. Stay tuned!
 
Wiki moja tu chaliii
 
Subiri raundi ya pili. Ya kwanza ilikuwa Kanda ya Ziwa. Iliisha kwa mafanikio na inayofuata itaanza na kuisha kwa mafanikio. Stay tuned!
Mafanikio yapi? Yale maigizo nayo ni maganikio?
We hufai kuwa jukwa hili kabisa.
 
Akiibuka Mtaanza tena kulia

Now yupo na Ziara kwa Maskofu, na wazee wastaafu akimaliza anapiga Ziara Kanda ya Kaskazini ambapo ndio Mlezi wa Mikoa hiyo.

mwendo ni ule ule ni mpaka Mbwa atapanda 😂
 
Habari za mpaka usema vyombo vimehamia huko umezisikia kwenye chombo gani?
Nchi inakabiliwa na mambo gani sa hv , CCM wote wapo Hanang , na huko unataka umsikie makonda , vyombo vya habar vyote vipo pale , daah watu mna chuki kinyama 😁😁😁 makonda vibe la media analo na hyo ni nyota haizimwi Kwa chuki
 
Akiibuka Mtaanza tena kulia

Now yupo na Ziara kwa Maskofu, na wazee wastaafu akimaliza anapiga Ziara Kanda ya Kaskazini ambapo ndio Mlezi wa Mikoa hiyo.

mwendo ni ule ule ni mpaka Mbwa atapanda 😂
Hajamaliza Kuombewa? Akimaliza Maaskofu uchwara ataanz akwa waganga
 
Haha ,

Makonda ataisumbua sana Ngome ya vyama vya watoa Taarifa

Watasahau kuishambulia CCM wataishia kupambana na Dab

Mifumo ya Siasa zetu ni anaejua kuongea na kuunda matukio , uongo ndio uonekana mahiri ( Makonda ni fundi Haswa ) anaenda kupambana na watu wa matukio akina Lissu

Mapema Makonda 2 Watoa Taarifa 0
 
Acha uongo.....mfumo wa siasa zetu umebebwa na polisi na vile vyombo vingine.

Nje ya hapo ccm hana mvuto wala uwezo wa kushika madaraka Tanzania.
 
Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya
alikuwa na haraka sana ya kuzunguka,alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Ccm ni watu fulani wa Hovyo mnoo ...
Alitaka kujikuta JPM...

Ametulizwaaa...
Unataka kumfunika Rais!?
Unapigapiga cm . Hana Akili...
 
Back
Top Bottom