Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #141
Naunga mkono hojaalijisahau sana
ccm ina wenyewe.
mama sii mmoja wa wenye ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaalijisahau sana
ccm ina wenyewe.
mama sii mmoja wa wenye ccm.
KabisaHana wa kumlea tena that's why
Katika nchi za dunia ya tatu (zinazokukuruka kwenda dunia ya pili) Tanzania ikiwemo, kuweka kiongozi mkuu mwanamke katika ngazi ya nchi/taifa (kwetu sisi tunamuita Rais) au katika ngazi ya chama cha siasa (ambako huitwa Mwenyekiti au kiongozi mkuu wa chama) ni kutafuta matatizo na kujifunga speed governor tu ili msiende mbele...Watu mnasahau CCM ni Mwenyekiti siyo hao wengine. Huyo Mwanamke amepwaya na hata amlete nani kwenye hizo nafasi za chama bado CCM itaboronga tu.
KabisaKatika nchi za dunia ya tatu (zinazokukuruka kwenda dunia ya pili) Tanzania ikiwemo, kuweka kiongozi mkuu mwanamke katika ngazi ya nchi/taifa (kwetu sisi tunamuita Rais) au katika ngazi ya chama cha siasa (ambako huitwa Mwenyekiti au kiongozi mkuu wa chama) ni kutafuta matatizo na kujifunga speed governor tu ili msiende mbele...
Nchi za namna hii hazina mifumo na taasisi imara hususani Bunge na mahakama ktk kufanya checking and balancing of powers. Taasisi hizi ni dhaifu mno huku taasisi ya U - RAIS ikiwa na nguvu kupita kiasi kuzi - undermine hizi zingine..
Kilicho kibaya zaidi ni kuwa, nchi hizi zikipata Rais mwehu au mwendawazimu, atayatumia mamlaka yake vibaya na kuweza hata kuipeleka nchi shimoni. Kinyume chake ni kuwa ukipata Rais mwema na akaweza kutumia vyema mamlaka na nguvu alizopewa na katiba, anaweza kuipeleka nchi pazuri sana. Rais Magufuli alijaribu kidogo lakini alishindwa pakubwa kujidhibiti mwenyewe. Akawa kama mlevi hivi. Akashindwa kufanya mambo kwa wazi. Akawa anafanya Kwa kificho huku akiumiza baadhi ya watu asiowapenda mwenyewe tu..
Lakini Kwa upande mmoja, nchi kama hizi zikipata Rais mwenye elements za kike, asiyejali, mpenda kujipodoa tu na kujirusha na kurusha maneno ya khanga kama huyu tuliye naye, wakora watatumia udhaifu wake huo kuipiga na kuiumiza nchi. Ndicho kinachofanyika sasa...
Pamoja na yote haya, katika mazingira haya ni bora zaidi kuwa na Rais MWANAUME wa sampuli ya Hayati Rais John P. Magufuli kuliko kuwa na kiongozi wa nchi kama Bi Samia Suluhu Hassan au mwanamke mwingine yeyote haijalishi yukoje kwa sababu mwanamke siku zote ni mwanamke tu. Anaweza kudanganywa hata na mjusi na maadui wakaimaliza familia yote!!
Kwangu mimi ni marufuku kabisa Mwanamke kuwa kiongozi mkuu wa nchi au chama cha siasa kinachotarajia kuongoza nchi!!
Hadi leoo hii anasonya hiii ilimuuma sana 🤣😁😁Chawa wa lumumba Lucas mwashambwa amekusonya balaa🤣🤣