chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Katika laws of power, never outshine your master, pia chama kimechaguliwa na kimeweka makada wake serikalini, kwa nini asiulizane nao huko? Anaanza kuwaita barabarani as if ni strangers kwa chama!?Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata