Upi mtazamo wako juu ya hii kauli ya 50 cent kuhusu wanawake?

Upi mtazamo wako juu ya hii kauli ya 50 cent kuhusu wanawake?

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
" Wanawake hawako na wewe kwa kukupenda . 100% , 90, wapo na wewe kwa kile ulichonacho. Ninapoanzisha mahusiano na mwanamke, kabla hata ya kumkiss kuna fomu maalamu nampa asaini ili kuonesha kuwa ameridhia mwenyewe. Sitaki hadithi kesho iwe tofauti.

Wanawake wengi huamini na kudhani kuwa mwanaume asiye na kipato hana hata haki ya kupata tendo la ndoa .
Nitakuwa na watoto wangu, nitawalea mwenyewe.

Siwezi kupambana kwa miaka 50 mpaka hapa nilipo halafu mwanamke aje agawane mali zangu pasu kwa pasu kisa talaka. Kamwe siwezi kuoa"

50 Cent.

Nini maoni yako?
 
Ana point ya msingi. Hili nalo neno. Wen u have nothing women wanakukwepa kama ukoma.
So wee ukizipata hakikisha unawatumia vilivyooo
 
" Wanawake hawako na wewe kwa kukupenda . 100% , 90, wapo na wewe kwa kile ulichonacho. Ninapoanzisha mahusiano na mwanamke, kabla hata ya kumkiss kuna fomu maalamu nampa asaini ili kuonesha kuwa ameridhia mwenyewe. Sitaki hadithi kesho iwe tofauti.

Wanawake wengi huamini na kudhani kuwa mwanaume asiye na kipato hana hata haki ya kupata tendo la ndoa .
Nitakuwa na watoto wangu, nitawalea mwenyewe.

Siwezi kupambana kwa miaka 50 mpaka hapa nilipo halafu mwanamke aje agawane mali zangu pasu kwa pasu kisa talaka. Kamwe siwezi kuoa"

50 Cent.

Nini maoni yako?
Kiasili wanawake huwa hawatumii ufahamu wao kwa asilimia kubwa wanaongozwa na nguvu ya asili (instinct) na hiyo instict yao haizingatii muonekano wa mwanaume bali inadili na tabia na hulka za mwanaume, hii instinct itajua sifa za huyo mwanaume kupitia kuongoza ukipata attention(ukamvutia) kwa mwanamke kupitia maneno hiyo hatua ya kwanza hatua inayofuata ni tabia yako ukiwa mstaarabu sana attention yake kwako mvuto unapotea ila ukiwa muhuni katili machepele sana ndio anakuhitaji zaidi.

Kupitia hii instinct ndio unajua kwanini? Wanawake hawavutiwi na wanaume wapole wastaarabu wakalimu, bali na mijitu yenye tabia za ajabu ajabu kwenye jamii. Kuna sababu nzuri tu ambapo tumekua tunaishi pasipo hata sisi kutambua.

Hata mwanaume nae hivyo hivyo tuna kitu kinachotambua uwepo wa mwanamke mwenye sifa flani pasipo hata wewe mhusika bila kujua mfona; kwa wanaume unaweza ukakaa sehemu vitu vingi vikapitahautageuka ama hautainua macho lakini kama atapita mwanamke mwanamke utajikuta umegeuka na moja kwa moja unakutana na mrembo sasa baada ya hapo ndio unaanza kumtizama kwa ufahamu wako na kuanza mipango.

Ivi unajua kuwa wanaume wote tunatafutaga mwenza kwa kuzingatia kigezo cha afya ya mwanamke na si kitu kingine... Lakini wengi hatulifahamu hilo...
Sasa tafakari hekima hii ya aliyetuumba ule muonekano wa mwanamke unaekuvutia usafi na shapu kwenye shepu hapa nadhani Harmonize atakua ananielewa vizuri😂. Sasa jamani Usafi na shapu flani hivi ndio afya yenyewe hiyo yaani akibebeshwa ujauzito huyo kizazi cha kesho kiko salama asilimia 100.
 
He got a point. Wherever the reason is but losing half of your wealth to a woman who added nothing just in account of marriage is crazy, bad enough the law doesn't hold women accountable even if they are source of the problem. Regardless what's the reason it's just men who have to bear losses
 
Ushimen rafiki yangu ni nini unahuzunika?
Nashangaa tu, maana mimi mke wangu hayupo kwangu kwaajili ya pesa na kunabkipindi niliwahi kuishiwa kabisa na bado alisimama imara tena aliendelea kuwa mtiifu kwangu pamoja na kwamba she had a good job and package far from me.
Minaona hao wana oa wanawake wanao julikana duniani na sio wanao wajua wao then shida inakuja kuanza pale mwanaume anapo anza kumjua mwanamke alie muoa" then wanakua wamesha chelewa" na kujikuta walikosea tayari na wapo ndani ya ndoa.
 
Kwa kibunda cha 50 ni sawa yeye kusema ivo.

Sasa ndgu yangu apeche alolo ambae unafanya kazi serikalini na umefungua mangi shop unategemea kumuweka mkeo asimamie hili halikuhusu kabisa.
Tatizo ni sheria kandamizi ya kumpora mwanaume mali zake na kumgawia mkewe bila kujali mchango wa mke kwenye hizo mali
 
Ni kweli wakuu wanawake wote ni mbwa.....
FB_IMG_17293186095023942.jpg
 
Back
Top Bottom