Upi mtazamo wako juu ya hii kauli ya 50 cent kuhusu wanawake?

Upi mtazamo wako juu ya hii kauli ya 50 cent kuhusu wanawake?

A wise man once said "love is a gamble,there will always be a winer in the end"
 
" Wanawake hawako na wewe kwa kukupenda . 100% , 90, wapo na wewe kwa kile ulichonacho. Ninapoanzisha mahusiano na mwanamke, kabla hata ya kumkiss kuna fomu maalamu nampa asaini ili kuonesha kuwa ameridhia mwenyewe. Sitaki hadithi kesho iwe tofauti.

Wanawake wengi huamini na kudhani kuwa mwanaume asiye na kipato hana hata haki ya kupata tendo la ndoa .
Nitakuwa na watoto wangu, nitawalea mwenyewe.

Siwezi kupambana kwa miaka 50 mpaka hapa nilipo halafu mwanamke aje agawane mali zangu pasu kwa pasu kisa talaka. Kamwe siwezi kuoa"

50 Cent.

Nini maoni yako?
Unajua 50, watoto wake watakuja kuoa na kuolewa. Kisha mali watazigawa
 
Back
Top Bottom