Upi mtazamo wako juu ya hii kauli ya 50 cent kuhusu wanawake?

Yupo sahihi kwa sheria zao kule. Hajakosea.
 
HUYU MWAMBA UKIMSOMA KWENYE MACHO YAKE NDIO UTAJUA HANA MASIHARA
 
Kwa kibunda cha 50 ni sawa yeye kusema ivo.

Sasa ndgu yangu apeche alolo ambae unafanya kazi serikalini na umefungua mangi shop unategemea kumuweka mkeo asimamie hili halikuhusu kabisa.
Kwa nini unasema hivyo mzee....mbona ata sie bodaboda pamoja na vijisenti bado wanatama kutukamua....hawana huruma Hawa viumbe
 
Kwa nini unasema hivyo mzee....mbona ata sie bodaboda pamoja na vijisenti bado wanatama kutukamua....hawana huruma Hawa viumbe
Amna ni kua mnasaidiana, usitegemee akupikie, akufulie na atoe muda wake kulea watoto wenu burebure lazima ulipie.

Hiyo inawahusu wale ambao Ke hana anachooffer ndani zaidi ya mbususu tu.
 
Amna ni kua mnasaidiana, usitegemee akupikie, akufulie na atoe muda wake kulea watoto wenu burebure lazima ulipie.

Hiyo inawahusu wale ambao Ke hana anachooffer ndani zaidi ya mbususu tu.
Kwani Hawa wanawake ukiwa nao nda I ya nyumba na wanafanya kazi hela yao utaiona basi....wanatama kuitumia za mume tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…