Hapa vipi mkuu mbona inaonyesha Biblia inatambua uwepo wa greek mythologies?? Kiasi kwamba inasema ufunuo mungu wa kigiriki HADES atawaachia wafu wote pia inatambua ukifa roho yako inachukuliwa na mungu Hades??? Je hawakucopy na hii???
Mathayo 1:13
"
And you, Capernaum, will not be exalted to heaven, will you? You will descend to Hades; for if the miracles had occurred in Sodom which occurred in you, it would have remained to this day.
Ufunuo 20:13
And the sea gave up the dead which were in it, and death and Hades gave up the dead which were in them; and they were judged, every one of them according to their deeds. Then death and Hades were thrown into the lake of fire This is the second death, the lake of fire.
Cc nyabhingi hearly capitalpool
ni mathayo 11:13 mkuu sio 1:13.
naomba niweke wazi mkuu. Siamini katika uwepo wa sehemu ambapo roho za watu huenda na kuishi mahala flani.
Ninaamini hata wakristo wenzangu wanaoamini concious State of soul after death wanaamini greek mytholigies na imani nyingi za kipagani za enzi hizo na sasa.
Turudi kwenye HADES.
neno hilo kwenye bibilia liko zaidi ya mara 1600.
katika septugiant (greek version of the old testament ) neno la kiebrania Sheol (kaburi) limetafsiriwa pia kama Hades na wayahudi hao waliofanya hiyo kazi huko alexandria.
Lakini pia tukumbuke enzi za Uandishi wa agano jipya lugha iliyokuwa maarufu kama english leo ilikuwa ni kigiriki hivyo sio ajabu kutumika misamiati ya kigiriki. Lakini general knowledge of the bible kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu Mtu akifa ni kama amelala na hiyo lugha hutumika na waandishi karibu wote wa bibilia.
Watu waliokuwa wanakwenda kaburini (sheol) agano la kale ghafla hawawezi kwenda huko panapodhaniwa ni store ya roho za wafu au wengine kuzimu (hades) sio lengo la utafsiri wa Muandishi.
Uthibitisho.
Ukisoma zaburi 16:10
For you will not leave my soul among the dead or allow your holy one to rot in the grave(SHEOL).NLT
OT
agano jipya inaquote hii hii sentensi ila Luka anatumia neno (HADES) lkn maana kuu inaonekana ni ileile ya siku zote.
For you will not abandon my soul to hades, or late your holy ones experience corruption
acts 2:27.
NT
wanaoamini kutokufa kwa roho, na uendaji wa roho huko hades ya kigiriki (the dead are conscious)
Eastern Orthodox, Catholic church, waanglikana, Methodists na walokole baadhi.
Ila binafsi kwa msingi wa Uumbaji wa Mwanzo 1,2 (The dead are unconscious). na hili wanaamini Wasabato wenzangu, na baadhi ya imani za kikristo.
Hivyo Bibilia haiamini nadharia za kigiriki bali hapo nadhani ilikiwa ni suala la Lugha tu, na kumbuka agano la kale ndiyo ilikuwa bibilia ya wakati huo na iliweka wazi suala hilo.
nimetoa maoni yanayosadifu imani yangu mkuu. Sleeping of the dead ambayo nasadiki ndio ukweli na ukweli huo hauna ni kinyume cha greek mythologies.