Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

64a8f60af13a1bb200ef438cba246cc3.jpg
know thy story..' N tell it
 
Hapa vipi mkuu mbona inaonyesha Biblia inatambua uwepo wa greek mythologies?? Kiasi kwamba inasema ufunuo mungu wa kigiriki HADES atawaachia wafu wote pia inatambua ukifa roho yako inachukuliwa na mungu Hades??? Je hawakucopy na hii???

Mathayo 1:13
"And you, Capernaum, will not be exalted to heaven, will you? You will descend to Hades; for if the miracles had occurred in Sodom which occurred in you, it would have remained to this day.

Ufunuo 20:13
And the sea gave up the dead which were in it, and death and Hades gave up the dead which were in them; and they were judged, every one of them according to their deeds. Then death and Hades were thrown into the lake of fire This is the second death, the lake of fire.

Cc nyabhingi hearly capitalpool
ni mathayo 11:13 mkuu sio 1:13.
naomba niweke wazi mkuu. Siamini katika uwepo wa sehemu ambapo roho za watu huenda na kuishi mahala flani.
Ninaamini hata wakristo wenzangu wanaoamini concious State of soul after death wanaamini greek mytholigies na imani nyingi za kipagani za enzi hizo na sasa.

Turudi kwenye HADES.
neno hilo kwenye bibilia liko zaidi ya mara 1600.
katika septugiant (greek version of the old testament ) neno la kiebrania Sheol (kaburi) limetafsiriwa pia kama Hades na wayahudi hao waliofanya hiyo kazi huko alexandria.

Lakini pia tukumbuke enzi za Uandishi wa agano jipya lugha iliyokuwa maarufu kama english leo ilikuwa ni kigiriki hivyo sio ajabu kutumika misamiati ya kigiriki. Lakini general knowledge of the bible kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu Mtu akifa ni kama amelala na hiyo lugha hutumika na waandishi karibu wote wa bibilia.
Watu waliokuwa wanakwenda kaburini (sheol) agano la kale ghafla hawawezi kwenda huko panapodhaniwa ni store ya roho za wafu au wengine kuzimu (hades) sio lengo la utafsiri wa Muandishi.

Uthibitisho.
Ukisoma zaburi 16:10 For you will not leave my soul among the dead or allow your holy one to rot in the grave(SHEOL).NLT
OT
agano jipya inaquote hii hii sentensi ila Luka anatumia neno (HADES) lkn maana kuu inaonekana ni ileile ya siku zote.
For you will not abandon my soul to hades, or late your holy ones experience corruption
acts 2:27.
NT

wanaoamini kutokufa kwa roho, na uendaji wa roho huko hades ya kigiriki (the dead are conscious)
Eastern Orthodox, Catholic church, waanglikana, Methodists na walokole baadhi.

Ila binafsi kwa msingi wa Uumbaji wa Mwanzo 1,2 (The dead are unconscious). na hili wanaamini Wasabato wenzangu, na baadhi ya imani za kikristo.

Hivyo Bibilia haiamini nadharia za kigiriki bali hapo nadhani ilikiwa ni suala la Lugha tu, na kumbuka agano la kale ndiyo ilikuwa bibilia ya wakati huo na iliweka wazi suala hilo.

nimetoa maoni yanayosadifu imani yangu mkuu. Sleeping of the dead ambayo nasadiki ndio ukweli na ukweli huo hauna ni kinyume cha greek mythologies.

Mkuu kwanza nikupongeze kwa ilimu yako hadimu unayotupa oustadh ila nna maswali naomba unisaidie

1. Kwanni Allah aliumba majini
2. Majini wanaishi wapi??
3. Hatima ya majini ni nini?? Je watahukumiwa kama sisi ama??

Natanguliza shukran

Hahaha. Mh. Zito bhana, Mimi si ustadhi ila Mimi ni mtafuta maarifa ila yenye manufaa chanya. Nipo kotekote na nimepitia baadhi ya nyuzi za nyuma kwa kuzisoma na mengi nimejifunza kupitia mawazo yenu mliyochangia kwenye hizo nyuzi.

Hayo maswali uliyouliza majibu yake ili yalete mtiririko wenye maana yanahitaji maelezo marefu sana. Tuombe Mungu tupate muda. Ila tupo pamoja.
 
Ndugu mbona tunajua sana hadithi za watu? sisi hadithi zetu ziko wapi? Hadithi na ngano Za Asia na Ulaya je Za kwetu ziko wapi?
Ni changamoto shida historia yetu kiukubwa hatukuiweka kwenye maandishi ndio maana ni ya kuokoteza sana ila wenzetu wana maandishi tokea miaka 4000 kabla ya Yesu ndio maana inakuwa rahisi kupata mtiririko kamili ila sisi tunaunga unga sana ndio maana humu inakuwa ngumu kukuta mada kwa mrengo wa historia

Kingine why middle east?? Sababu ndipo dini zote kuu na civilization ya mwanadamu ndipo ilipoanzia Kwahiyo hakuna kitu kinaweza kuanzishwa sehemu yoyote duniani bila kuwa na roots za middle east sababu kuendana na dini zao wanadai mwanadamu wa kwanza aliwekwa mashariki ya kati so ndio tunalichukua hilo kama lilivyo sababu wao wana maandishi sisi hatuna maandishi ya kuonyesha alikuwa afrika!!!

So for now acha tuendelee kuamini kuwa middle east ndio foundation ya dunia ya kale!!! Ila nashkuru kwa changamoto

Cc hearly
 
Hahaha. Mh. Zito bhana, Mimi si ustadhi ila Mimi ni mtafuta maarifa ila yenye manufaa chanya. Nipo kotekote na nimepitia baadhi ya nyuzi za nyuma kwa kuzisoma na mengi nimejifunza kupitia mawazo yenu mliyochangia kwenye hizo nyuzi.

Hayo maswali uliyouliza majibu yake ili yalete mtiririko wenye maana yanahitaji maelezo marefu sana. Tuombe Mungu tupate muda. Ila tupo pamoja.
Mkuu ningekuomba kwa manufaa ya JF nzima ungepandisha uzi kuhusu elimu hii ya roho maana wengi tunashindwa tofautisha kati ya majini,mapepo na malaika..... Itakuwa vizuri ili wote wenye madukuduku kama kina mie tuweze kuzoa maarifa na kuachana na sintofahamu hii tuliyonayo sasa
 
Narudia tena ikowapi hadithi yetu, viko wapi vitabu vyetu vitakatifu vya muongozo wa maisha yetu?
Narudia tena kwa herufi kubwa HATUKUWEKA KWENYE MAANDISHI ndio maana leo hii tumeporwa invention zetu zote sifa anapewa mzungu

Kuna uzi nliweka hapa kuhusu mfalme OGU huyu inasemekana simulizi yake ilikuwa ni pwani ya Tanzania na alifia mtwara/bagamoyo ila kwa kuwa tuliishia kuongea kwa mdomo tu simulizi ya HUNKU BIN UNUQ iliishia kuporwa na wazungu na wakamuita UJ BIN ANAQ!!! Same case kwa ngano ya kuhusu gharika kule umasaini au kuwepo kwa MESSIAH huko Nigeria ya kale ambaye hadithi yake ni sawa na Yesu kabisa..... Ila hatukuandika ndio maana leo tunaaminishwa manabii wote mitume wote majemedari wote waliofanya makubwa walikuwa WAZUNGU au MASHARIKI YA KATI ila hakuna MTU mweusi

So tuandike..... Anza wwe kina Malcom Lumumba kina Mshana Jr etc muandike maarifa yote mlionayo maybe miaka ya mbele wajukuu zetu watakuwa na cha kujivunia na kusoma kuhusu mababu zao maana lasihivyo wataishia kusoma hadithi za mashariki ya kati as if ni waarabu au wayahudi weusi!!!
 
Mkuu ningekuomba kwa manufaa ya JF nzima ungepandisha uzi kuhusu elimu hii ya roho maana wengi tunashindwa tofautisha kati ya majini,mapepo na malaika..... Itakuwa vizuri ili wote wenye madukuduku kama kina mie tuweze kuzoa maarifa na kuachana na sintofahamu hii tuliyonayo sasa

Mkuu Zito, nitafanya hivyo mkuu. Muhimu ni kuomba uzima.

Usiku mwema.
 
Huwa nazisoma sana kaka,
Sema huwa naacha kuchangia kwasababu mada kama hizi watu huwa wanajifunza vitu vipya..
.
Kile kitabu ulichonipa mkuu hakijaacha kitu nyuma kabisa kuhusu historia ya Israel dah mpaka nkimaliza ntakuwa nmeondoa ujinga mwingi sana maana israel ni muhimu sana kujua historia yake ukizingatia ndio chimbuko la hizi dini kuu mbili za Abrahamic religions

Ubarikiwe
 
Narudia tena kwa herufi kubwa HATUKUWEKA KWENYE MAANDISHI ndio maana leo hii tumeporwa invention zetu zote sifa anapewa mzungu

Kuna uzi nliweka hapa kuhusu mfalme OGU huyu inasemekana simulizi yake ilikuwa ni pwani ya Tanzania na alifia mtwara/bagamoyo ila kwa kuwa tuliishia kuongea kwa mdomo tu simulizi ya HUNKU BIN UNUQ iliishia kuporwa na wazungu na wakamuita UJ BIN ANAQ!!! Same case kwa ngano ya kuhusu gharika kule umasaini au kuwepo kwa MESSIAH huko Nigeria ya kale ambaye hadithi yake ni sawa na Yesu kabisa..... Ila hatukuandika ndio maana leo tunaaminishwa manabii wote mitume wote majemedari wote waliofanya makubwa walikuwa WAZUNGU au MASHARIKI YA KATI ila hakuna MTU mweusi

So tuandike..... Anza wwe kina Malcom Lumumba kina Mshana Jr etc muandike maarifa yote mlionayo maybe miaka ya mbele wajukuu zetu watakuwa na cha kujivunia na kusoma kuhusu mababu zao maana lasihivyo wataishia kusoma hadithi za mashariki ya kati as if ni waarabu au wayahudi weusi!!!

Hahaha. Mambo ya Unju bin Unuki.. Huyu jamaa niliisoma historia yake. Kumbe ni wahapa hapa Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom