Fillipina Bellini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 353
- 490
Narudia tena ikowapi hadithi yetu, viko wapi vitabu vyetu vitakatifu vya muongozo wa maisha yetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
at least wewe umeiona na ukisoma comments zangu utaona wazi naiishiNyabingi
Nyabingi signature yako tamu sana
ha hahaa[/QUOTE]alaika anakesha anakulinda??? kwahiyo wale madiwani wanaopigwa mapnga malaika wao wanazidiwa nguvu au? imani nyingine zinachekesha sana
ni mathayo 11:13 mkuu sio 1:13.Hapa vipi mkuu mbona inaonyesha Biblia inatambua uwepo wa greek mythologies?? Kiasi kwamba inasema ufunuo mungu wa kigiriki HADES atawaachia wafu wote pia inatambua ukifa roho yako inachukuliwa na mungu Hades??? Je hawakucopy na hii???
Mathayo 1:13
"And you, Capernaum, will not be exalted to heaven, will you? You will descend to Hades; for if the miracles had occurred in Sodom which occurred in you, it would have remained to this day.
Ufunuo 20:13
And the sea gave up the dead which were in it, and death and Hades gave up the dead which were in them; and they were judged, every one of them according to their deeds. Then death and Hades were thrown into the lake of fire This is the second death, the lake of fire.
Cc nyabhingi hearly capitalpool
Mkuu kwanza nikupongeze kwa ilimu yako hadimu unayotupa oustadh ila nna maswali naomba unisaidie
1. Kwanni Allah aliumba majini
2. Majini wanaishi wapi??
3. Hatima ya majini ni nini?? Je watahukumiwa kama sisi ama??
Natanguliza shukran
Ni changamoto shida historia yetu kiukubwa hatukuiweka kwenye maandishi ndio maana ni ya kuokoteza sana ila wenzetu wana maandishi tokea miaka 4000 kabla ya Yesu ndio maana inakuwa rahisi kupata mtiririko kamili ila sisi tunaunga unga sana ndio maana humu inakuwa ngumu kukuta mada kwa mrengo wa historiaNdugu mbona tunajua sana hadithi za watu? sisi hadithi zetu ziko wapi? Hadithi na ngano Za Asia na Ulaya je Za kwetu ziko wapi?
Mkuu ningekuomba kwa manufaa ya JF nzima ungepandisha uzi kuhusu elimu hii ya roho maana wengi tunashindwa tofautisha kati ya majini,mapepo na malaika..... Itakuwa vizuri ili wote wenye madukuduku kama kina mie tuweze kuzoa maarifa na kuachana na sintofahamu hii tuliyonayo sasaHahaha. Mh. Zito bhana, Mimi si ustadhi ila Mimi ni mtafuta maarifa ila yenye manufaa chanya. Nipo kotekote na nimepitia baadhi ya nyuzi za nyuma kwa kuzisoma na mengi nimejifunza kupitia mawazo yenu mliyochangia kwenye hizo nyuzi.
Hayo maswali uliyouliza majibu yake ili yalete mtiririko wenye maana yanahitaji maelezo marefu sana. Tuombe Mungu tupate muda. Ila tupo pamoja.
Narudia tena kwa herufi kubwa HATUKUWEKA KWENYE MAANDISHI ndio maana leo hii tumeporwa invention zetu zote sifa anapewa mzunguNarudia tena ikowapi hadithi yetu, viko wapi vitabu vyetu vitakatifu vya muongozo wa maisha yetu?
Mkuu ningekuomba kwa manufaa ya JF nzima ungepandisha uzi kuhusu elimu hii ya roho maana wengi tunashindwa tofautisha kati ya majini,mapepo na malaika..... Itakuwa vizuri ili wote wenye madukuduku kama kina mie tuweze kuzoa maarifa na kuachana na sintofahamu hii tuliyonayo sasa
Nipo mkuu kuna nyuzi nilikuita naona umepita kimyakimya mkuu nkaishia kuona kivuli tuMtaalamu zitto junior upo aisee ???
Thread ilifungwaok briefly uliona nini?na je hii bermuda ipo?nadhani utatupa uzoefu wako huko kwa faida ya wengi
Huwa nazisoma sana kaka,Nipo mkuu kuna nyuzi nilikuita naona umepita kimyakimya mkuu nkaishia kuona kivuli tu
Kile kitabu ulichonipa mkuu hakijaacha kitu nyuma kabisa kuhusu historia ya Israel dah mpaka nkimaliza ntakuwa nmeondoa ujinga mwingi sana maana israel ni muhimu sana kujua historia yake ukizingatia ndio chimbuko la hizi dini kuu mbili za Abrahamic religionsHuwa nazisoma sana kaka,
Sema huwa naacha kuchangia kwasababu mada kama hizi watu huwa wanajifunza vitu vipya..
.
Narudia tena kwa herufi kubwa HATUKUWEKA KWENYE MAANDISHI ndio maana leo hii tumeporwa invention zetu zote sifa anapewa mzungu
Kuna uzi nliweka hapa kuhusu mfalme OGU huyu inasemekana simulizi yake ilikuwa ni pwani ya Tanzania na alifia mtwara/bagamoyo ila kwa kuwa tuliishia kuongea kwa mdomo tu simulizi ya HUNKU BIN UNUQ iliishia kuporwa na wazungu na wakamuita UJ BIN ANAQ!!! Same case kwa ngano ya kuhusu gharika kule umasaini au kuwepo kwa MESSIAH huko Nigeria ya kale ambaye hadithi yake ni sawa na Yesu kabisa..... Ila hatukuandika ndio maana leo tunaaminishwa manabii wote mitume wote majemedari wote waliofanya makubwa walikuwa WAZUNGU au MASHARIKI YA KATI ila hakuna MTU mweusi
So tuandike..... Anza wwe kina Malcom Lumumba kina Mshana Jr etc muandike maarifa yote mlionayo maybe miaka ya mbele wajukuu zetu watakuwa na cha kujivunia na kusoma kuhusu mababu zao maana lasihivyo wataishia kusoma hadithi za mashariki ya kati as if ni waarabu au wayahudi weusi!!!
Hahahhaa huyo huyo mkuu kuna uzi wake unaweza pita ukaongezea mawili matatu ingawa waarabu wanamuita OG IBN ANAQ hivyo wamepora ngano yetu hii sababu hatuna maandishi ya kuback up stori hiiHahaha. Mambo ya Unju bin Unuki.. Huyu jamaa niliisoma historia yake. Kumbe ni wahapa hapa Afrika Mashariki.
Hahahhaa huyo huyo mkuu kuna uzi wake unaweza pita ukaongezea mawili matatu ingawa waarabu wanamuita OG IBN ANAQ hivyo wamepora ngano yetu hii sababu hatuna maandishi ya kuback up stori hii
Mfalme OG: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu