Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupe ushahidi ndugubibilia haijaiga popote huko ugiriki.
sodoma na gomora ni vitu ambavyo vinaushahidi wa kiachiolojia. Koleo tu middle east linaweza kuthibitisha mengi tu ya kwenye bibilia.
labda quran wahusika wanaweza kufafanua.
cc Fatima binti hemedi
Hakuzaliwa, hakuishi, hakufa, Wala kusulubiwa, na hivyo bila shaka hatorudi, imeshapita miaka 2018 Wala hajarudi, hivi bado tu mnasubiri ama ni muda muafaka sasa kukiri kwamba mliingizwa chaka na Wayahudi??????Yesu aliwezaje kuzaliwa bila baba wa kimwili??
2,18000!!!!!!?????Hakuzaliwa, hakuishi, hakufa, Wala kusulubiwa, na hivyo bila shaka hatorudi, imeshapita miaka 2,18000 Wala hajarudi, hivi bado tu mnasubiri ama ni muda muafaka sasa kukiri kwamba mliingizwa chaka na Wayahudi??????
tupe ushahidi ndugu
Hapa vipi mkuu mbona inaonyesha Biblia inatambua uwepo wa greek mythologies?? Kiasi kwamba inasema ufunuo mungu wa kigiriki HADES atawaachia wafu wote pia inatambua ukifa roho yako inachukuliwa na mungu Hades??? Je hawakucopy na hii???bibilia haijaiga popote huko ugiriki.
sodoma na gomora ni vitu ambavyo vinaushahidi wa kiachiolojia. Koleo tu middle east linaweza kuthibitisha mengi tu ya kwenye bibilia.
labda quran wahusika wanaweza kufafanua.
cc Fatima binti hemedi
Hili bara kiukweli halikuwepo ni ngano za wagiriki kama ngano zao kuhusu Poseidon, Zeus na wengineo. Kuna maandiko ya kihistoria niliyasoma mda, yanasema Mgiriki elimu yake kaitolea Misri ya kale. Kama hayo ni kweli basi kuna asilimia kubwa watakuwa wamerithi na mifano ya ngano za huko.
Kuhusu ustaarabu was kale kuwa na maendeleo kuliko sisi hiyo ni kweli mfano mdogo pyramid za misri tu zina wazuzua watu. Kuna makala moja nilikuwa naiangalia inahusu ustaarabu wa kale wa kuhusu ujenzi wa majengo. Kuna jengo lilizungukwa na vibwawa vya maji. Kulichunguza wakabaki na butwaa. Ramani yake ilikuwa inaendana na ujenzi wa majiji ya kileo.
katika dini tumefundishwa haya mambo yote.tofauti kati ya malaika,majini na binadamu..malaika waliumbwa kwa Nuru..majini kwa moto..na binadamu kwa udongo...wakristo walifichwa hizi habari makusudi katika biblia.walitaka kuwaaminisha watu kuwa malaika ni watoto wa kike wa MUNGU.jambo ambalo siyo kweli.malaika hawana jinsia na hawali wala hawanywi kama majini na binadam..hata story za majini kuzaa na watu siyo kweli coz malaika hawajawahi kumuasi Mwenyezi MUNGU hata siku moja.
Aiseee...""hatari sana "me ntakujibu kwa mtizamo wangu. kwanza ukweli ni kuwa blacks ndio the best guys in this world but still tumefanywa kujiona duni mbele ya wazungu na waarabu na wahindi.why!.it coz shetani pia yuko katika ku make sure dunia haielewi ukweli.soo shetani nao kakomaa na wazungu kuwaletea maendeleo na kuwasaidia katika kuvumbua vitu ili waonekane the special ones.angalia hata katika Kumuasi MUNGU wazungu wametuzidi watu weusi.kule ushoga ni ruksa.huku serikali zetu huwa zinalinda kura zao koz wakiruhusu ushoga wataondolewa madarakani.ADAM katika kuumbwa kwake.alisimamishwa kama sanamu kwa mda mrefu tuu bila uhai.akawa yuabadilika rangi za ngozi yake.mpaka ilipofikia rangi nyeusi ndipo MWENYEZI MUNGU akampulizia uhai.hii inamaana kuwa Adamu alikua mtu mweusi.hii ni kwa mujibu wa uislamu.na ukifuatilia vizuri hata Suleimani,Ayubu,Samson na Yesu walikua watu weusi kwa ushahidi wa biblia.sa wazungu hawaezi taka sisi waafrica tujitambue ata siku moja...me naweza amini bara la atlantis lilikuepo koz chini ya bahari huwa kuna miji mingi imefunikwa na maji na inaonyesha waliishi watu wenye elimu kubwa koz kuna mikasri ya maana.ila suala la kuwa na viumbe waitwao watazamaji mi naamini ni tricks za freemasons kutuzubaisha binadamu ili ttuone kuwa stori za uwepo wa MUNGU muumbaji wa vyote pia ni hadithi ya kawaida wakati yatakiwa ifahamike kuwa MUUMBAJI ni mmoja na vyote alivyoumba anavihitajia vimuabudu.soo wazungu kupotezea huo ukweli wao huleta stori za dunia zingine na viumbe wa ulimwengu mwingne ili tuu kuwasahaulisha watu kuhusa MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VIIJAZAVYO
Hakuna kilichofichwa hapa, Lucifer kuumbwa kwake na material yote ilo tumika imeandikwa ndani ya biblia.Asee wanaficha kweli kaka tunasonga tu ngoja tuendelee na visomo tutajua tu.
shetani (laana ziwe juu yake)..ni jini.na aliishi hapa duniani kabla hajapaishwa mbinguni wakati uzao wa majini ulipofutwa duniani koz malaika walikuja kuwatawanya majini duniani.majini wengine walikimbilia baharini wengine mapori makubwa na wengine katika majabali makubwa.ndipo hapo shetani kipindi hicho alikua muabudu Mungu sana hivyo akanyakuliwa na kupelekwa mbinguni akiwa bado hajafa..kule aliishi na malaika japokuwa yeye alikua siyo malaika.ila aliposkia habari za kuumbwa Adamu.kiumbe wa mwisho wa kuitawala dunia hapo shetani alichukia na kuanza kusema kuwa hatamuheshimu huyu kiumbe mpya...huko ndiko ugomvi ulipoanzia katiyetuna shetani.fatilieni hizi stori jamani.ni tamu na zinaelimisha sana...natamani nikuandikie storiyote hadi pind wote wametupwa duniani...ila ni ndefu sana.plis fanya usake mtu akusimulie hasa ma sheikh
Me ntaka niseme kitu hapa,
Aisee, Jini ni nani na malaika ni nani?
Kwa iyo shetani ni jini ama malaika kwa asili?Vitatu viliumbwa.(1) binadamu asili yao udongo (2)majini asili yao moto.(3) malaika asili yao nuru.
Jini ni nani?
Jini ni miongoni mwa viumbe wanaoishi kwenye huu ulimwengu ila wao malighafi iliyotumika kuwaumba ni moto. Wanajinsia vilevile. Ndiyo maana utasikia mtu anakwambia nina jini mahaba. Na mahaba yanaendana na jinsia.
Malaika ni nani?
Hawa ni miongoni mwa viumbe waliyoumbwa kwa malighafi nuru. Hawa wanaishi kwa bwana mkubwa huko na wakija duniani basi kwa kazi maalum. Kubwa zaidi hawana jinsia na si mabinti wenye macho marembo kama watu wanavyowachora. Plus malaika ana nguvu zaidi zaidi ya jini. Hata huyo Lucifer mwenyewe hatii mguu. Kwani anajua atachezea kichapo cha mbwa koko.