Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

tupe ushahidi ndugu
upload_2018-5-23_16-33-8.jpeg
upload_2018-5-23_16-35-52.jpeg

paleontology na archaeology
katika eneo ambalo inakadiliwa ilikuwepo sodoma na gomora huko mashariki ya kati.
machimbo yanaonyesha moto tena wenye sifa ya kwenye maandishi ya bibilia uliharibu hapo.
sina muda wa kutosha kuelezo hilo, ila siku nikipata muda ntakuongezea nyama mkuu.
 
bibilia haijaiga popote huko ugiriki.
sodoma na gomora ni vitu ambavyo vinaushahidi wa kiachiolojia. Koleo tu middle east linaweza kuthibitisha mengi tu ya kwenye bibilia.
labda quran wahusika wanaweza kufafanua.

cc Fatima binti hemedi
Hapa vipi mkuu mbona inaonyesha Biblia inatambua uwepo wa greek mythologies?? Kiasi kwamba inasema ufunuo mungu wa kigiriki HADES atawaachia wafu wote pia inatambua ukifa roho yako inachukuliwa na mungu Hades??? Je hawakucopy na hii???

Mathayo 1:13
"And you, Capernaum, will not be exalted to heaven, will you? You will descend to Hades; for if the miracles had occurred in Sodom which occurred in you, it would have remained to this day.

Ufunuo 20:13
And the sea gave up the dead which were in it, and death and Hades gave up the dead which were in them; and they were judged, every one of them according to their deeds. Then death and Hades were thrown into the lake of fire This is the second death, the lake of fire.

Cc nyabhingi hearly capitalpool
 
Hili bara kiukweli halikuwepo ni ngano za wagiriki kama ngano zao kuhusu Poseidon, Zeus na wengineo. Kuna maandiko ya kihistoria niliyasoma mda, yanasema Mgiriki elimu yake kaitolea Misri ya kale. Kama hayo ni kweli basi kuna asilimia kubwa watakuwa wamerithi na mifano ya ngano za huko.

Kuhusu ustaarabu was kale kuwa na maendeleo kuliko sisi hiyo ni kweli mfano mdogo pyramid za misri tu zina wazuzua watu. Kuna makala moja nilikuwa naiangalia inahusu ustaarabu wa kale wa kuhusu ujenzi wa majengo. Kuna jengo lilizungukwa na vibwawa vya maji. Kulichunguza wakabaki na butwaa. Ramani yake ilikuwa inaendana na ujenzi wa majiji ya kileo.
 
Me ntaka niseme kitu hapa,
katika dini tumefundishwa haya mambo yote.tofauti kati ya malaika,majini na binadamu..malaika waliumbwa kwa Nuru..majini kwa moto..na binadamu kwa udongo...wakristo walifichwa hizi habari makusudi katika biblia.walitaka kuwaaminisha watu kuwa malaika ni watoto wa kike wa MUNGU.jambo ambalo siyo kweli.malaika hawana jinsia na hawali wala hawanywi kama majini na binadam..hata story za majini kuzaa na watu siyo kweli coz malaika hawajawahi kumuasi Mwenyezi MUNGU hata siku moja.

Aisee, Jini ni nani na malaika ni nani?
 
me ntakujibu kwa mtizamo wangu. kwanza ukweli ni kuwa blacks ndio the best guys in this world but still tumefanywa kujiona duni mbele ya wazungu na waarabu na wahindi.why!.it coz shetani pia yuko katika ku make sure dunia haielewi ukweli.soo shetani nao kakomaa na wazungu kuwaletea maendeleo na kuwasaidia katika kuvumbua vitu ili waonekane the special ones.angalia hata katika Kumuasi MUNGU wazungu wametuzidi watu weusi.kule ushoga ni ruksa.huku serikali zetu huwa zinalinda kura zao koz wakiruhusu ushoga wataondolewa madarakani.ADAM katika kuumbwa kwake.alisimamishwa kama sanamu kwa mda mrefu tuu bila uhai.akawa yuabadilika rangi za ngozi yake.mpaka ilipofikia rangi nyeusi ndipo MWENYEZI MUNGU akampulizia uhai.hii inamaana kuwa Adamu alikua mtu mweusi.hii ni kwa mujibu wa uislamu.na ukifuatilia vizuri hata Suleimani,Ayubu,Samson na Yesu walikua watu weusi kwa ushahidi wa biblia.sa wazungu hawaezi taka sisi waafrica tujitambue ata siku moja...me naweza amini bara la atlantis lilikuepo koz chini ya bahari huwa kuna miji mingi imefunikwa na maji na inaonyesha waliishi watu wenye elimu kubwa koz kuna mikasri ya maana.ila suala la kuwa na viumbe waitwao watazamaji mi naamini ni tricks za freemasons kutuzubaisha binadamu ili ttuone kuwa stori za uwepo wa MUNGU muumbaji wa vyote pia ni hadithi ya kawaida wakati yatakiwa ifahamike kuwa MUUMBAJI ni mmoja na vyote alivyoumba anavihitajia vimuabudu.soo wazungu kupotezea huo ukweli wao huleta stori za dunia zingine na viumbe wa ulimwengu mwingne ili tuu kuwasahaulisha watu kuhusa MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VIIJAZAVYO
Aiseee...""hatari sana "
 
shetani (laana ziwe juu yake)..ni jini.na aliishi hapa duniani kabla hajapaishwa mbinguni wakati uzao wa majini ulipofutwa duniani koz malaika walikuja kuwatawanya majini duniani.majini wengine walikimbilia baharini wengine mapori makubwa na wengine katika majabali makubwa.ndipo hapo shetani kipindi hicho alikua muabudu Mungu sana hivyo akanyakuliwa na kupelekwa mbinguni akiwa bado hajafa..kule aliishi na malaika japokuwa yeye alikua siyo malaika.ila aliposkia habari za kuumbwa Adamu.kiumbe wa mwisho wa kuitawala dunia hapo shetani alichukia na kuanza kusema kuwa hatamuheshimu huyu kiumbe mpya...huko ndiko ugomvi ulipoanzia katiyetuna shetani.fatilieni hizi stori jamani.ni tamu na zinaelimisha sana...natamani nikuandikie storiyote hadi pind wote wametupwa duniani...ila ni ndefu sana.plis fanya usake mtu akusimulie hasa ma sheikh

Huu ni uongo, by the way sikupenda kuchangia ila mnazidi. Uislam ni Agenda nyingine Aisee
 
Mh. Yamindinda kwanza kabisa hamna kitu kinachoitwa fallen angel. Nimeona vigezo vinavyotumika kimojawapo ni walikuwa na miili mikubwa na kuliko binadamu wa kawaida. Ingia mashariki ya kati hapo hata India napo kuna makaburi marefu sana kuliko urefu kawaida. Nenda kwenye alka'aba ya waislamu ndani ya ile nyumba inayofunikwa na nguo nyeusi. Kutokana na waislamu wenyewe mule ndani kuna mahali Ibrahim alisimama. Aisee! Kuna nyayo kubwa sana.

Ninachojaribu kukiandika hapa ni kwamba binadamu wa kale walikuwa na maumbo makubwa. Hata hayo makaburi yaliyopo mashariki ya kati ambayo ni marefu wakazi wa huko toka vizazi kwa vizazi wanadai ni ya mitume.

Ukija kwa waislam maandiko yao yanasema binadamu wa kale walikuwa na maumbo makubwa sana na waliishi miaka mirefu sana. Watu wa Iram kwenye Qur'an wanasimuliwa kwamba walikuwa ni marefu sana,yenye nguvu na walikuwa na fani, elimu, art ambazo hawakupewa wowote kwenye hii dunia mpaka leo hii. Wakiamua kukufanyia uadui basi hutotajika tena duniani. Wakiamua kukuchapa yani wanakuchapa kweli. Kwa sababu walikuwa ni watu wenye miili mikubwa,wenye miraba na fani zao elimu yao walikufa nazo wenyewe.

Ila majumba yao yamebaki. Ingia YouTube halafu andika the lost stone city- Iram. Utapata habari kamili.
 
Me ntaka niseme kitu hapa,

Aisee, Jini ni nani na malaika ni nani?

Vitatu viliumbwa.(1) binadamu asili yao udongo (2)majini asili yao moto.(3) malaika asili yao nuru.

Jini ni nani?
Jini ni miongoni mwa viumbe wanaoishi kwenye huu ulimwengu ila wao malighafi iliyotumika kuwaumba ni moto. Wanajinsia vilevile. Ndiyo maana utasikia mtu anakwambia nina jini mahaba. Na mahaba yanaendana na jinsia.

Malaika ni nani?
Hawa ni miongoni mwa viumbe waliyoumbwa kwa malighafi nuru. Hawa wanaishi kwa bwana mkubwa huko na wakija duniani basi kwa kazi maalum. Kubwa zaidi hawana jinsia na si mabinti wenye macho marembo kama watu wanavyowachora. Plus malaika ana nguvu zaidi zaidi ya jini. Hata huyo Lucifer mwenyewe hatii mguu. Kwani anajua atachezea kichapo cha mbwa koko.
 
Kwa iyo shetani ni jini ama malaika kwa asili?
 
Back
Top Bottom