Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
20,537
Reaction score
31,729
images (19).jpg
WanaJF intelligence habari za asbuhi.... Bila kupoteza muda ningependa kwenda mojamoja kwenye mada ...... Je upi ni ukweli kuhusu philadelphia experiment?

17zpws4686yknjpg.jpg
Inasemekana mnamo october 28, 1943 meli vita ya marekani USS Eldridge huko philadelphia jimbo la Pennsylvania marekani ilitumika kufanya majaribio ya formula za Albert Einstein kuhusu TELEPORTATION yaani kuhamisha kitu kutoka point A kwenda point B kwa kukitowesha kutoka point A alafu ikajiumba upya point B mfano ikulu ya magogoni uamue kuihamisha dodoma kwa sekunde chache tu yaani kwa spidi ya mwanga wa radi hivyo unaitowesha hapo Dar alafu inatokea huko dodoma!!

Sasa hiyo USS eldridge kutokana na vita kuchachamaa kipindi hicho wamarekani wakawa wanatafuta silaha za kila aina kummaliza adui sasa wanadai kabla mbinu hii haijatumika vitani ilibidi ifanyiwe majaribio ndani kwa ndani ndio yakafanyika majaribio haya mawili

La kwanza lilikuwa july 1943 ambapo meli hiyo hiyo USS Eldridge iliweza kufanywa majaribio ya kisayansi na isionekane kwa macho... kwa ufupi ikayayushwa!! (Wavuvi waliona meli ikitoweka ikabaki moshi wa kijani tu )

Sasa walipoona wamefanikiwa kufanya meli iyayuke/isionekane ili adui asiione kwenye uwanja wa vita wakajaribu kufanya majaribio ya kuiteleport kwa kuihamisha kutoka eneo A kwenda eneo B kwa kutumia hizo sheria za kisayansi za QUANTUM TELEPORTATION (unified field theories) zilizoimarishwa na Albert Einstein

Kuendana na maelezo ya morris jessup mtu aliyeiibua SIRI hii na kuuawa miaka michache baadae meli hiyo ilitoweka kweli kutoka philadelphia na baada ya sekunde chache ikatokea upande wa New york yaani meli iyayuke pale bandari Dar alafu ionekane mpendae huko pemba sekunde chache baadae!!!!

Mwandishi anasema licha ya jaribio hili kufanikiwa ila wanajeshi waliokuwepo kwenye meli wengi walipata madhara mfano kuna watu walikutwa wamebanwa katikati ya vyuma.... Wengine wamekufa, wengine meli ilipoyeyuka hawakurudi, wengine waliopona walirukwa na akili na baadae wengi wao kufa vifo vya kiutatanishi (inasemekana walifuatiliwa na kuuawa ili wasitoe siri)
Noi-marturii-înspăimântătoare-despre-Experimentul-PHILADELPHIA.jpg

Story hii ilivuja kupitia mmoja wa wanajeshi aliyeitwa miguel ailende aliepona kwenye tukio hilo ambaye kabla naye hajasakwa alitoa siri zote alizoziona kwenye meli kwa mwandishi huyu morris Jessup ambaye naye kwa kuandika makala hii na kutoa kitabu aliishia kufa kifo cha kutatanisha!!!

Sasa nimeleta kisa hiki kwa wana JF ili wajuvi wa mambo mtusaidie je upi ni ukweli kuhusu the philadelphia experiment??

Je tukio hili ni la kweli au limeongezwa chumvi na wamarekani ili waoagopeke??

Je kweli waliweza kuiteleport meli??

Je huenda bado wanayo hyo teknolojia au waliachana nayo baada ya kufeli vibaya??

Je kama teknolojia hiyo ikiwepo sahvi itabadilishaje mambo kwenye uwanja wa kivita??

NB: Teleportation sio jambo la kufikirika linawezekana sema kwa vitu vidogo na iko proven na wanasayansi kuwa unaweza ukakihamisha kitu dar ukakifikisha morogoro bila kusafirisha physically.... Na wanasayansi wa japan wameweza kuteleport element chache kutoka ardhini zikatokea upya huko kwenye satellite yao angani!!

Naomba kuwasilisha

CC Malcom Lumumba Elungata Kiranga hearly Mshana Jr Habibu B. Anga Palantir Da'Vinci Kudo900 Kipanga boy izzo Eiyer Ziroseventytwo na wanajukwaa wote

NB: uzi niliupost JF intelligence ila baada ya mods kuushikilia kwa "miaka" kadhaa nimeona nikubali yaishe niulete huku jukwaa pendwa
 
Kwa hiyo unataka na wewe kutoweka na sisi ? Haupati hapa. Wewe unadhani moderator hajui kazi yao ?
 
View attachment 755707 WanaJF intelligence habari za asbuhi.... Bila kupoteza muda ningependa kwenda mojamoja kwenye mada ...... Je upi ni ukweli kuhusu philadelphia experiment?

View attachment 755709 Inasemekana mnamo october 28, 1943 meli vita ya marekani USS Eldridge huko philadelphia jimbo la Pennsylvania marekani ilitumika kufanya majaribio ya formula za Albert Einstein kuhusu TELEPORTATION yaani kuhamisha kitu kutoka point A kwenda point B kwa kukitowesha kutoka point A alafu ikajiumba upya point B mfano ikulu ya magogoni uamue kuihamisha dodoma kwa sekunde chache tu yaani kwa spidi ya mwanga wa radi hivyo unaitowesha hapo Dar alafu inatokea huko dodoma!!

Sasa hiyo USS eldridge kutokana na vita kuchachamaa kipindi hicho wamarekani wakawa wanatafuta silaha za kila aina kummaliza adui sasa wanadai kabla mbinu hii haijatumika vitani ilibidi ifanyiwe majaribio ndani kwa ndani ndio yakafanyika majaribio haya mawili

La kwanza lilikuwa july 1943 ambapo meli hiyo hiyo USS Eldridge iliweza kufanywa majaribio ya kisayansi na isionekane kwa macho... kwa ufupi ikayayushwa!! (Wavuvi waliona meli ikitoweka ikabaki moshi wa kijani tu )

Sasa walipoona wamefanikiwa kufanya meli iyayuke/isionekane ili adui asiione kwenye uwanja wa vita wakajaribu kufanya majaribio ya kuiteleport kwa kuihamisha kutoka eneo A kwenda eneo B kwa kutumia hizo sheria za kisayansi za QUANTUM TELEPORTATION (unified field theories) zilizoimarishwa na Albert Einstein

Kuendana na maelezo ya morris jessup mtu aliyeiibua SIRI hii na kuuawa miaka michache baadae meli hiyo ilitoweka kweli kutoka philadelphia na baada ya sekunde chache ikatokea upande wa New york yaani meli iyayuke pale bandari Dar alafu ionekane mpendae huko pemba sekunde chache baadae!!!!

Mwandishi anasema licha ya jaribio hili kufanikiwa ila wanajeshi waliokuwepo kwenye meli wengi walipata madhara mfano kuna watu walikutwa wamebanwa katikati ya vyuma.... Wengine wamekufa, wengine meli ilipoyeyuka hawakurudi, wengine waliopona walirukwa na akili na baadae wengi wao kufa vifo vya kiutatanishi (inasemekana walifuatiliwa na kuuawa ili wasitoe siri)
View attachment 755714
Story hii ilivuja kupitia mmoja wa wanajeshi aliyeitwa miguel ailende aliepona kwenye tukio hilo ambaye kabla naye hajasakwa alitoa siri zote alizoziona kwenye meli kwa mwandishi huyu morris Jessup ambaye naye kwa kuandika makala hii na kutoa kitabu aliishia kufa kifo cha kutatanisha!!!

Sasa nimeleta kisa hiki kwa wana JF ili wajuvi wa mambo mtusaidie je upi ni ukweli kuhusu the philadelphia experiment??

Je tukio hili ni la kweli au limeongezwa chumvi na wamarekani ili waoagopeke??

Je kweli waliweza kuiteleport meli??

Je huenda bado wanayo hyo teknolojia au waliachana nayo baada ya kufeli vibaya??

Je kama teknolojia hiyo ikiwepo sahvi itabadilishaje mambo kwenye uwanja wa kivita??

NB: Teleportation sio jambo la kufikirika linawezekana sema kwa vitu vidogo na iko proven na wanasayansi kuwa unaweza ukakihamisha kitu dar ukakifikisha morogoro bila kusafirisha physically.... Na wanasayansi wa japan wameweza kuteleport element chache kutoka ardhini zikatokea upya huko kwenye satellite yao angani!!

Naomba kuwasilisha

CC Malcom Lumumba Elungata Kiranga hearly Mshana Jr Habibu B. Anga Palantir Da'Vinci Kudo900 Kipanga boy izzo Eiyer Ziroseventytwo na wanajukwaa wote

NB: uzi niliupost JF intelligence ila baada ya mods kuushikilia kwa "miaka" kadhaa nimeona nikubali yaishe niulete huku jukwaa pendwa
Naamini ilitokea kweli. Niliwahikusoma kitabu THE PHILADEPHIA EXPERIMENT/EXPERIMENT INVISIBLE. ni maelezo hayohayo uliyoyatoa. Ila Mshana Jr kwenye Hili hatoweza, kwa kwa hii quantum tunnelling physics. Not the dark side of it!
 
Mkuu
Huyobaliebaki anasema aliona nini wakati meli inapotea?
Hapana hakuwepo ndani ya meli ila alikuwepo ndani ya meli iliyokuwa inasimamia zoezi hilo yaani ikitokea lolote basi meli aliokuwemo ndio ingeenda kuokoa jahazi

Kma na yye angekuwa ndani ya meli either angekufa au kupoteza faham maana wengi waliokuwemo kwenye meli iliofanyiwa majaribio either walipoteza kumbukumbu au kupoteza faham kwa masaa mengi na wengine kurukwa na akili maana kubadilisha masafa ya kilometer zaidi ya 20 ndani ya sekunde 7 si mchezo
 
Sio kweli, kwanini wafiche Siri mpaka kuuana wakati wamefanikisha zoezi.
Hawakufanikiwa sababu ilikuwa na madhara makubwa kwa wanajeshi.... Ssa ingekuwa na faida gani meli ihame ila wanajeshi wafike wameweyuka??

Kingine waliwaua ili siri ya formula walizotumia zisije vuja kwa maadui wao kumbuka ilikuwa wakati wa vita kuu ya pili ya dunia

Unajua hata leo wanaweza fanikiwa muua adui ika bado wanaweza kuua wote waliofanikisha hiyo mission sio kwa sababu wamefeli au kufaulu ila KUTUNZA SIRI
 
Back
Top Bottom