Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

wadau nashukuru mmenijibia majibu ya kutosha kuhusu beki ya simba maana hawa utopolo kuingilia mambo yetu hawajambo!! wamekazana kuiponda beki ya simba lakini ukijaribu kufuatilia mapungufu wala huyaoni kama unavyoyaona kwenye beki ya yanga ambayo mwamyeto wanaemsifia ndo huyu huyu alisababisha penati ya kijinga baina ya yanga na namungo, huyuhuyu ndo alitoa pasi mbovu ya kurudisha nyuma na akapigwa bao. wakikosea wa yanga wanasema eti wamechoka kwa sababu wamecheza mfululizo, wakikosea simba eti ni wazee hawawezi kukimbia.. utopolo pumbavuuuuu!!!!
 
Simba haina shida ya beki, tuna beki kibao, hayo maneno ndiyo nayasikia kwa wanaojifanya wanajua mpira, una ibrahim ame, kennedy, nyoni, onyango, wawa, sasa beki ya nini tena
HATA LIVERPOOL ALIPOTWAA EPL WATU WALISEMA HIVYO LAKINI LEO WANAAMBIWA "SAJILINI BEKI WA KATI" HAKUNA TIMU INAYOKAMILIKA
 
😃😃 kishacheza south,algeria tena vilabu kama mamelod na ajs kabyirie kwa mafanikio makubwa hadi kufikia al ahly kumtaka mwaka juzi,leo unacomment kiutelembwe kuwafurahisha nyau wenzako 😃
 

Attachments

  • Screenshot_20210116-082642_YouTube.jpg
    57.5 KB · Views: 1
Nyie utopoloni ndio mna chuki za wazi kwa Onyango kwa vile aliwatia kichwa.

Maana hilo jina wazee mnaling'ang'ania sana
Nahisi toka Onyango akimbizwe kwa kutanguliziwa mipira mbele na yule kijana wa yanga watu hawana imani nae kabisa.
 
Kama beki hii ya simba ambayo imeruhusu goli chache basi hiyo beki mnayoipa ipa sifa itapigwa kumi na tisa
Simba aina beki yapo mapazia, ni swala la muda tu upepo wa goli tanotano utakapo vuma nyeti za Simba zitakua hadharani.
 
Kuwa na amani, hayo manyani yasikupe shida kabsa
 
Na pia lazima watamuacha mchezaji mmoja wa kigeni na kwa vyovyote watamuacha,morrison.pia chikwende kasajiliwa na viongozi au kocha?
 
Wenzetu mpaka wasajili mchezaji watamuangalia mechi nyingi sana yaani wanafuatilia kila kitu chako ila ni Tanzania tu mechi moja tu ukiwatesa wanakubeba. chukulia mfano wa Liverpool, Traore alikuwa anawatesa sana Liver na kila mtu akajuwa jamaa wanamchukuwa wanamtaka kumbe watu wanatizama hata wasiowatesa mara Dioto, watu vipi tena jamaa sasa star...
 
[emoji2][emoji2] kishacheza south,algeria tena vilabu kama mamelod na ajs kabyirie kwa mafanikio makubwa hadi kufikia al ahly kumtaka mwaka juzi,leo unacomment kiutelembwe kuwafurahisha nyau wenzako [emoji2]
Kwa hiyo mmewapiku Al ahly?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maajabu kama haya bonyeza*11111#

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Na pia lazima watamuacha mchezaji mmoja wa kigeni na kwa vyovyote watamuacha,morrison.pia chikwende kasajiliwa na viongozi au kocha?
Mpira wa bongo watu wanaenda hatua mbili mbele, afu wanarudi hatua nne nyuma
 
Kwa hiyo mmewapiku Al ahly?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maajabu kama haya bonyeza*11111#

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Deal lilibuma akaenda timu nyingine huko huko egypty,but sio mchezaji mdogo kwa ukanda wa afrika mashariki,Yanga inafanya usajili wake kwa kutulia na ndio maana azam na nyau uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani halafu wanamuwahi,hii ni sajili bora kabisa katika ligi yetu
 

Attachments

  • IMG-20210116-WA0010.jpg
    54.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…