Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HATA LIVERPOOL ALIPOTWAA EPL WATU WALISEMA HIVYO LAKINI LEO WANAAMBIWA "SAJILINI BEKI WA KATI" HAKUNA TIMU INAYOKAMILIKASimba haina shida ya beki, tuna beki kibao, hayo maneno ndiyo nayasikia kwa wanaojifanya wanajua mpira, una ibrahim ame, kennedy, nyoni, onyango, wawa, sasa beki ya nini tena
😃😃 kishacheza south,algeria tena vilabu kama mamelod na ajs kabyirie kwa mafanikio makubwa hadi kufikia al ahly kumtaka mwaka juzi,leo unacomment kiutelembwe kuwafurahisha nyau wenzako 😃Ame anatosha sana kama beki namba nne. Chikwende ni usajili bora kabisa. Huyu anailazimisha timu pinzani kujihami muda wote so mabeki wake hawatakua na wakati mgumu.
Huyu wa Yanga toka Burundi ni mtoto wa dada Caze kaja kula na mjomba Kama Maximo na Jaja.
Nahisi toka Onyango akimbizwe kwa kutanguliziwa mipira mbele na yule kijana wa yanga watu hawana imani nae kabisa.
Mkuu tengua maelezo yako mimi ni wekundu wa msimbazi kindaki ndakiNyie utopoloni ndio mna chuki za wazi kwa Onyango kwa vile aliwatia kichwa.
Maana hilo jina wazee mnaling'ang'ania sana
Sasa hayo mapazia kwanini usiyaweke kwenye madirisha ya Mama yakoSimba aina beki yapo mapazia, ni swala la muda tu upepo wa goli tanotano utakapo vuma nyeti za Simba zitakua hadharani.
Simba aina beki yapo mapazia, ni swala la muda tu upepo wa goli tanotano utakapo vuma nyeti za Simba zitakua hadharani.
Yanga ni kama mchawi huwa hapendi [emoji35]
wadau nashukuru mmenijibia majibu ya kutosha kuhusu beki ya simba maana hawa utopolo kuingilia mambo yetu hawajambo!! wamekazana kuiponda beki ya simba lakini ukijaribu kufuatilia mapungufu wala huyaoni kama unavyoyaona kwenye beki ya yanga ambayo mwamyeto wanaemsifia ndo huyu huyu alisababisha penati ya kijinga baina ya yanga na namungo, huyuhuyu ndo alitoa pasi mbovu ya kurudisha nyuma na akapigwa bao. wakikosea wa yanga wanasema eti wamechoka kwa sababu wamecheza mfululizo, wakikosea simba eti ni wazee hawawezi kukimbia.. utopolo pumbavuuuuu!!!!
Na pia lazima watamuacha mchezaji mmoja wa kigeni na kwa vyovyote watamuacha,morrison.pia chikwende kasajiliwa na viongozi au kocha?Abdul Razak
Hakuna mfatiliaji na mdau wa soka bongo asiejua kwamba shida ya Yanga SC ni striker, Yanga ilikuwa inaitaji striker na imepata striker, kuhusu striker ni Mzuri kiasi gani ligi zetu za kiafrika hazina formula
Chikwende
Nadhani watu wengi wa Simba na wadaawa wa soka wengi bongo walitegemea Simba ingesajili beki wa Kati kijana na mwenye speed, lakn Barbra amesajli forward, Chikwende sio mchezaj mbaya, kwani anakasi na ataongeza kasi zaidi mbele, lakn kwa Mtazamo wangu Mimi Simba waliitaji beki wa Kati pia zaidi kuliko striker
Kwa hiyo mmewapiku Al ahly?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maajabu kama haya bonyeza*11111#[emoji2][emoji2] kishacheza south,algeria tena vilabu kama mamelod na ajs kabyirie kwa mafanikio makubwa hadi kufikia al ahly kumtaka mwaka juzi,leo unacomment kiutelembwe kuwafurahisha nyau wenzako [emoji2]
Deal lilibuma akaenda timu nyingine huko huko egypty,but sio mchezaji mdogo kwa ukanda wa afrika mashariki,Yanga inafanya usajili wake kwa kutulia na ndio maana azam na nyau uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani halafu wanamuwahi,hii ni sajili bora kabisa katika ligi yetuKwa hiyo mmewapiku Al ahly?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maajabu kama haya bonyeza*11111#
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app