OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ukizungumza haya mambo weka na takwimu za timu hizo. katika kuruhusu magoli na kufunga magoli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na toka awapasue yanga mnamuogopa juzi hapa tena kawaonyesha yeye si level ya utopoloNahisi toka Onyango akimbizwe kwa kutanguliziwa mipira mbele na yule kijana wa yanga watu hawana imani nae kabisa.
Sarpong 1 day mtakuja kumuelewaNi sajili Bora Kama Sarpong
Yanga ndo kuna beki mbona mnyama alikupasua goli nneSimba aina beki yapo mapazia, ni swala la muda tu upepo wa goli tanotano utakapo vuma nyeti za Simba zitakua hadharani.
Kasi huwa haifundishwi mkuu, hiyo kitu ni natural.. unaweza kuwa mwepesi na usiwe na kasiSimba akuna tatizo la beki kwasasa.
Iyo kasi unayosema labda kushauri benchi la ufundi pamoja na ao wachezaji waongeze zaidi juhudi ya kutafuta kasi na wepesi wanapo train.
Sio kweli embu fatilia Tena takwimu halafu ujilizisheYanga wamefungwa magoli machache kuliko Simba kwenye vpl huku Yanga amecheza game nyingi
Yanga wamemsajili Dickson Job
Mwamnyeto wa kawaida huyo Moro kidogo ila shida yake majeraha ya kudumu kwaio mnajikuta mna mwamnyeto peke yake Mara nyingiMwamnyeto & Lamine hamna kitu mkuu?
Sasa kama mchezi hana morali na spirit ya ushindi huyo so takatakaWe beki Kama onyango east Africa unamtoa wapi mwingine? Utopolo mnashindwa kujua statistics beki gani imeruhusu goli chache? Yanga inawachowabeba ni form na Spirit ndomana beki inaonekana nzuri ila beki hamna mle
Beki gani bongo wa kumfananisha na MwamnyetoMwamnyeto wa kawaida huyo Moro kidogo ila shida yake majeraha ya kudumu kwaio mnajikuta mna mwamnyeto peke yake Mara nyingi
Hilo tatzo lilikuwa zaman kwa sasa sidhani Saido, Sogne wanatengeneza nafasi nying tuNa yanga tatizo lao ambalo wachambuzi hawazungumzi ni kutokua na kiungo mchezeshaji Yani mukoko,fei toto,zawadi wote wanakaa kwenye half yao na ndomana inawezekana sarpong akalaumiwa lakini yanga hawapo imara katikati sehemu inayohitaji ubunifu.Niyonzima hapew nafasi,carinho nae haeleweki ila Hawa wangewasaidia Sana.
Mafanikio ya striker yanaambatana na statistic.😃😃 kishacheza south,algeria tena vilabu kama mamelod na ajs kabyirie kwa mafanikio makubwa hadi kufikia al ahly kumtaka mwaka juzi,leo unacomment kiutelembwe kuwafurahisha nyau wenzako 😃
Yanga wamesajili Beki toka Mtibwa Dickson JobKwani kati ya yanga na simba Nani ana shida ya beki?
Moro na mwamnyeto
Wawa na onyango
Wapi unaona wamekamilika...prone injuries za Moro ambae hawezi cheza hata mechi 5 mfululizo!
Ulitaka tumsajili mchezaji wa viwango gani? Hizo clud ulizozitaja unfotunately zipo rank ya juu kuliko hata Yanga. Unaongelea AS Vita ambayo mchezaji akitemwa simba au yanga kwao anageuka lulu? Kiwango cha AS vita kina utofauti gani na simba?Plateu & Platinum sio sawa na Al Ahly & AS Vita mkuu.. bookmark my words
Speed ya kwenda wapi?Kati ya hizo beki hamna hata beki mmoja mwenye speed