CR7 alisajiliwa Man U baada ya kuwafunga akiwa na Sporting Lisbon ya Ureno ongea jingine,Wenzetu mpaka wasajili mchezaji watamuangalia mechi nyingi sana yaani wanafuatilia kila kitu chako ila ni Tanzania tu mechi moja tu ukiwatesa wanakubeba. chukulia mfano wa Liverpool, Traore alikuwa anawatesa sana Liver na kila mtu akajuwa jamaa wanamchukuwa wanamtaka kumbe watu wanatizama hata wasiowatesa mara Dioto, watu vipi tena jamaa sasa star...
Mchezaji kama ni mzuri mzuri haijalishi kakufunga au Lah!!!
Antibiotics kasajiliwa vipi Yanga, Lamine kasajiliwa vipi, Nchimbi je?