Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Wenzetu mpaka wasajili mchezaji watamuangalia mechi nyingi sana yaani wanafuatilia kila kitu chako ila ni Tanzania tu mechi moja tu ukiwatesa wanakubeba. chukulia mfano wa Liverpool, Traore alikuwa anawatesa sana Liver na kila mtu akajuwa jamaa wanamchukuwa wanamtaka kumbe watu wanatizama hata wasiowatesa mara Dioto, watu vipi tena jamaa sasa star...
CR7 alisajiliwa Man U baada ya kuwafunga akiwa na Sporting Lisbon ya Ureno ongea jingine,

Mchezaji kama ni mzuri mzuri haijalishi kakufunga au Lah!!!

Antibiotics kasajiliwa vipi Yanga, Lamine kasajiliwa vipi, Nchimbi je?
 
Yanga inawachezajj experience sana Saido, Abdul Razak, Mukoko, Tuisila hao ni more experience bro... Huwezi linganisha na wachezaji wa zimbambwe na zambia
Mhh! Kwa akili zako unadhani thamani ya Chama Clatous (Mzambia) inaweza kuzidiwa na Mukoko(Congo DR)?, Au unajitoa ufahamu?
 
sasa bro si ndo tumewashauri msihangaike na nafasi nne za juu za ligi ya bongo maana huko afrika mtakutana tu na hao watu atleast namungo wanaume hawaogopi nyie kila siku mkisikia al ahly mnajiharishia na kuanza kututisha na sisi
Yanga wanawaogopa Al ahly?.unazikumbuka game mbili walizocheza yanga vs al ahly mara ya mwisho kukutana?.Na game za hivi karibuni walizokutana Simba vs al ahly?
 
Yanga wanawaogopa Al ahly?.unazikumbuka game mbili walizocheza yanga vs al ahly mara ya mwisho kukutana?.Na game za hivi karibuni walizokutana Simba vs al ahly?
sasa manachotupigia kelele ni nini?si walifungwa al ahly dar esalaam hata 85 simba alimfunga pale kirumba hata zamalek alishafungwa na simba isamilia ashafungwa
 
Yanga wanawaogopa Al ahly?.unazikumbuka game mbili walizocheza yanga vs al ahly mara ya mwisho kukutana?.Na game za hivi karibuni walizokutana Simba vs al ahly?
kumbe wanafungika sasa mnambwela nini?maana kila kona utopolo wanajaribu kutisha watu kwamba tupo kwenye hali ya hatari sisi tunacheka tu,ibenge wa as vita umesikia juzi alivyoongea kuhusu simba?yeye mwenyewe anaongea kwa heshima kumbuka kwa ubora wa CAF As vita ni ya 12(23 points) ,simba ya 17(14 points),utopolo wa 69(1 point)
 
CR7 alisajiliwa Man U baada ya kuwafunga akiwa na Sporting Lisbon ya Ureno ongea jingine,

Mchezaji kama ni mzuri mzuri haijalishi kakufunga au Lah!!!

Antibiotics kasajiliwa vipi Yanga, Lamine kasajiliwa vipi, Nchimbi je?
However, it is not strictly true that Ronaldo was signed on the back of that performance alone, since negotiations with the Portuguese club had been happening for a number of months regarding a potential transfer.

Nevertheless, it did not hurt and appears to have accelerated the process, strengthening the resolve of Sir Alex Ferguson to get the deal done, particularly after he had lost out in the pursuit of Ronaldinho.

Bwana mdogo alikuwa kwenye radar tayari hata Arsenal walikuwa karibu wamchukuwe ile mechi ilamfanya Fergusson aongeze speed tu kumchukuwa sio kwamba ndio siku ya kwanza kumuona. Soma kitabu cha Fergusson
 
"The first time he picked up the ball, he did a bit of skill, beat a player and all of us on the bench sat up together and took notice," Pugh said. "Someone said, 'This must be the lad the manager was talking about.'

"He was there to put on a show. Every time he got the ball, he wanted to do something, he had so much belief. He was still quite slight then, but he had so much natural talent. It was the way he carried the ball and skipped past players."

United had harboured an active interest in Ronaldo for a year, and it seemed clear he was aware the match offered him a chance to banish any doubts they might have.

Kuonesha tu mwaka mzima Fergusson alikuwa anajuwa kuhusu Ronaldo kama mtoto anakipaji na ile mechi ni kama Ronaldo alikuwa anajuwa kuwa watu wanamfuatilia kiwango cha siku ile kilifanya biashara iishe mapema lakini sio kwamba ndio ilikuwa siku ya kwanza kumuona sio kweli ushahidi huo juu.
 
Yanga inawachezajj experience sana Saido, Abdul Razak, Mukoko, Tuisila hao ni more experience bro... Huwezi linganisha na wachezaji wa zimbambwe na zambia
Yanga walikuwa hawana matumizi nae, wangemuhitaji angebaki, hao wachezaji unaowasifia wa as vita wanatamani kuchezea simba na yanga. Hizi timu ni kubwa na zina maslah kiliko hiyo. Sema mkijitoa ufahamu chochote kwenu mnalopoka.
simba yanga na azam zinalipa vizuri kuliko teams nyingi afrika ninachokiona mashabiki wengi wa utopolo wana inferiority complex juzi kuna mmoja facebook nabishana na mshabiki wa south africa kwenye page ya michezo ya africa sports jamaa wa yanga ananiambia huyo wa orlando pirates ,niakmuambia unajua pirates ni wa 34 afrika na hadi kelele za wa south kuhusu simba ni kwamba walisha i notice kwamba ni threat sasa utopolo badala wajinasue nafasi ya 69 wamekalia historia na majungu
CAF hawaangalii historia wanaangalia pafomansi ya 5 years kama ni historia basi na sisi tungekuwa juu ya hiyo namba 17 maana 1974 tulifika nusu fainali ya klabu bingwa afrika,1993 fainali
 
However, it is not strictly true that Ronaldo was signed on the back of that performance alone, since negotiations with the Portuguese club had been happening for a number of months regarding a potential transfer.

Nevertheless, it did not hurt and appears to have accelerated the process, strengthening the resolve of Sir Alex Ferguson to get the deal done, particularly after he had lost out in the pursuit of Ronaldinho.

Bwana mdogo alikuwa kwenye radar tayari hata Arsenal walikuwa karibu wamchukuwe ile mechi ilamfanya Fergusson aongeze speed tu kumchukuwa sio kwamba ndio siku ya kwanza kumuona. Soma kitabu cha Fergusson
waziri junior..ditram nchimbi ile hat trick akiw a polisi ilitosha kabisa kusajiliwa utopoloni, tarik seif akiwa biashara
 
waziri junior..ditram nchimbi ile hat trick akiw a polisi ilitosha kabisa kusajiliwa utopoloni, tarik seif akiwa biashara
sasa ndio unasifu usajili mzuri, hivi ujiulizi kwanini kila mwaka wanasajili wachezaji team nzima kila mwaka. sababu wanakurupuka
 
waziri junior..ditram nchimbi ile hat trick akiw a polisi ilitosha kabisa kusajiliwa utopoloni, tarik seif akiwa biashara
Simba walimchukua kijana yule sijui Adam nani toka Lipuli yaani hakuna hata mipango mwisho wa siku wale wanachukuwa mitaji tu baada ya mwaka wanaachwa hata hawajali. Ni Tanzania tu unaweza kukuta team kamili wanasajiliwa mwakani team nyingine itokee bahati wawili watatu wamefaa wanakaa nao. Yanga ya mwaka jana ndio hii ya mwaka huu, wakifanya vizuri wanakaa mfano wangefanya vibaya tu basi mwakani new 11
 
We beki Kama onyango east Africa unamtoa wapi mwingine? Utopolo mnashindwa kujua statistics beki gani imeruhusu goli chache? Yanga inawachowabeba ni form na Spirit ndomana beki inaonekana nzuri ila beki hamna mle
Basi tufungeni ss km hatuna beki
 
Simba ana vipolo 3?
Tatzo akili ndogo. Simba anaviporo vitatu ni kweli, vipi ukijumlisha na mechi nne alizocheza kimataifa?. Ongelea mechi zote jumla alizocheza Yanga ziwe za ndani na nje afu nenda kwa Simba ufanye hvyo then jumlisha magoli aliyofungwa Yanga na Simba afu jiulize beki mbovu ni ipi. Vp Yanga angecheza kimataifa angehimili kufungwa goli moja tu kama Simba katika mechi nne. Ujuaji mwingi hata hujawahi kuwa kocha wa timu ya kijiji.
 
usiseme kama Simba unajuaje? Kama angehimili mikiki ya kimataifa
 
Beki champions league imeruhusu goli moja katika mechi nne, kwenye leagye imeruhusu goli tano tu mzunguko wa kwanza, ukuta wa simba mala ya mwisho kurusu goli ilikuwa mechi yanga, tena penalt ya magumashi. Sasa nikimeona mtu anasema simba wanabeki mbobu huwa najiuliza anatumia kigezo gani?
Subiri game dhidi ya waarabu ndio utajua tunabeki au Nini?
 
Wasio na amani hawajui mpira. Onyango amekuja Simba akiwa MVP wa ligi ya Kenya (kama alivyokuwa Chama kwenye ligi ya Bara). Bado akiwa Simba amethibitisha hilo na hakuna beki bora hadi sasa kuliko ya Simba hapa Bara. Bado kuna Wawa, Nyoni, Kennedy, Ame, halafu mtu anakurupuka kusema mahitaji ya Simba ni beki, hivi watu huwa mnaangalia mpira kweli?
Aliyewaita yanga UTOPOLO ana kiti chake peponi moja Kwa moja!

Nasema uongo ndugu zangu wa UTOPOLO???
 
Back
Top Bottom