Yanga wamefungwa magoli machache kuliko Simba kwenye vpl huku Yanga amecheza game nyingiKwani kati ya yanga na simba Nani ana shida ya beki?
Moro na mwamnyeto
Wawa na onyango
Wapi unaona wamekamilika...prone injuries za Moro ambae hawezi cheza hata mechi 5 mfululizo!
Mwamnyeto & Lamine hamna kitu mkuu?We beki Kama onyango east Africa unamtoa wapi mwingine? Utopolo mnashindwa kujua statistics beki gani imeruhusu goli chache? Yanga inawachowabeba ni form na Spirit ndomana beki inaonekana nzuri ila beki hamna mle
Ni sajili Bora Kama SarpongDeal lilibuma akaenda timu nyingine huko huko egypty,but sio mchezaji mdogo kwa ukanda wa afrika mashariki,Yanga inafanya usajili wake kwa kutulia na ndio maana azam na nyau uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani halafu wanamuwahi,hii ni sajili bora kabisa katika ligi yetu
Plateu & Platinum sio sawa na Al Ahly & AS Vita mkuu.. bookmark my wordsBeki champions league imeruhusu goli moja katika mechi nne, kwenye leagye imeruhusu goli tano tu mzunguko wa kwanza, ukuta wa simba mala ya mwisho kurusu goli ilikuwa mechi yanga, tena penalt ya magumashi. Sasa nikimeona mtu anasema simba wanabeki mbobu huwa najiuliza anatumia kigezo gani?
Shida sio kijana tunajua kuwa onyango ni mdgo wetu ana 27, shida ni kasi.. shida ya Wawa ni kasi, nyoni ni kasi rejea tuisila vs joash, chikwende vs nyoni & onyango kule ZimbabweKwa Simba ya sasa aina shida ya beki,beki wa kati kijana uliempendekeza ni Ibrahim Amme.
Onyango ni kijana sema mnahofu umri wake kwasababu ana uso wa mbuzi.
Si kweliMimi nimesema ni forward means mchezaji yoyote anaecheza mbele, chikwende anaweza piga namba yoyote kule mbele kuanzia 7,9,10,11
Chikwende atawaongezea kasi mbele akisaidizana na Luis ila mtafungwa magoli mengi sana, mbele Chikwende, Luis, Chama, Bocco.. wachezaji wanne mbele hawakabi afu unacheza na AhlyAme anatosha sana kama beki namba nne. Chikwende ni usajili bora kabisa. Huyu anailazimisha timu pinzani kujihami muda wote so mabeki wake hawatakua na wakati mgumu.
Huyu wa Yanga toka Burundi ni mtoto wa dada Caze kaja kula na mjomba Kama Maximo na Jaja.
Ww ulimuona wapi chikwende akicheza hadi unasema mzuri?
duh hadi takwimu mnachakachua hivi mna shida gani ?utopolo kafungwa goals 7 simba 5 au unahesabu kiyunani?Yanga wamefungwa magoli machache kuliko Simba kwenye vpl huku Yanga amecheza game nyingi
Yanga wamemsajili Dickson Job
kama mnaogopa kiasi hicho champions league tafdhali msihangaike kugombania ubingwa wa vpl wenzenu kina manula washazoea hizo mechi nyie kila siku kujazana uwoga tu wa afrika kaeni hapahapa mgombanie kombe la mapinduziChikwende atawaongezea kasi mbele akisaidizana na Luis ila mtafungwa magoli mengi sana, mbele Chikwende, Luis, Chama, Bocco.. wachezaji wanne mbele hawakabi afu unacheza na Ahly
hatutaki beki tena ,mjadala umefungwaKati ya hizo beki hamna hata beki mmoja mwenye speed
Simba akuna tatizo la beki kwasasa.Shida sio kijana tunajua kuwa onyango ni mdgo wetu ana 27, shida ni kasi.. shida ya Wawa ni kasi, nyoni ni kasi rejea tuisila vs joash, chikwende vs nyoni & onyango kule Zimbabwe
ACHA UONGO WEWE unataka kutuona sisi Mazezeta.Yanga wamefungwa magoli machache kuliko Simba kwenye vpl huku Yanga amecheza game nyingi
Yanga wamemsajili Dickson Job
As Vita wepi ao,waliopigwa na Simba mwaka juzi au wengine?Plateu & Platinum sio sawa na Al Ahly & AS Vita mkuu.. bookmark my words
Simba a.k.a Utelembwe fc kwa midomo hamfai, yaani Kama vile wote mmekulia uswazi Tena Tandale kwa Tumbo, shit...duh hadi takwimu mnachakachua hivi mna shida gani ?utopolo kafungwa goals 7 simba 5 au unahesabu kiyunani?