Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Umetoa point sana, mpira ni mbinu tu, Yanga siku zote wanapenda wachezaji aina ya Usain Bolt, rejea Lunyamila, Thomas Kipese, Mohamed Hussein hivyo yaaniTuisila alifunga magoli mangapi kwa kasi yake hiyohiyo dhidi ya Onyango?
By the way kasi ya nini hujui mpira ni methods tu ? Hivi ushajiuliza kwa nini Chama hana spidi kama Tuisila ila anaweka kambani mara nyingi kuliko huyo Tuisila!?
Mpira maarifa ,mbio nenda kwa Bolt
Football hua hawahesabu hivyo wana tumia ratio chukua games walizo cheza Yanga gawa idadi ya magoli waliyo concede , the same to Simba utapata jibuduh hadi takwimu mnachakachua hivi mna shida gani ?utopolo kafungwa goals 7 simba 5 au unahesabu kiyunani?
Wote hao baadae walitimkia Nyaunyau SCUmetoa point sana, mpira ni mbinu tu, Yanga siku zote wanapenda wachezaji aina ya Usain Bolt, rejea Lunyamila, Thomas Kipese, Mohamed Hussein hivyo yaani
Chaguzi za Yanga bana
Adam Salamba alisajiliwa kuikomoa Yanga tu iliyokua inamuhitaji kwa mechi za kimataifaSimba walimchukua kijana yule sijui Adam nani toka Lipuli yaani hakuna hata mipango mwisho wa siku wale wanachukuwa mitaji tu baada ya mwaka wanaachwa hata hawajali. Ni Tanzania tu unaweza kukuta team kamili wanasajiliwa mwakani team nyingine itokee bahati wawili watatu wamefaa wanakaa nao. Yanga ya mwaka jana ndio hii ya mwaka huu, wakifanya vizuri wanakaa mfano wangefanya vibaya tu basi mwakani new 11
Akuna linaloshindikana chini ya jua.Kasi huwa haifundishwi mkuu, hiyo kitu ni natural.. unaweza kuwa mwepesi na usiwe na kasi
Abdoul razak kasajiliwa kwa mapendekezo ya kocha kaze,chikwende kasajiliwa kwa mapendekezo ya nani? Maana simba haina kochaAbdul Razak
Hakuna mfatiliaji na mdau wa soka bongo asiejua kwamba shida ya Yanga SC ni striker, Yanga ilikuwa inaitaji striker na imepata striker, kuhusu striker ni Mzuri kiasi gani ligi zetu za kiafrika hazina formula
Chikwende
Nadhani watu wengi wa Simba na wadaawa wa soka wengi bongo walitegemea Simba ingesajili beki wa Kati kijana na mwenye speed, lakn Barbra amesajli forward, Chikwende sio mchezaj mbaya, kwani anakasi na ataongeza kasi zaidi mbele, lakn kwa Mtazamo wangu Mimi Simba waliitaji beki wa Kati pia zaidi kuliko striker
Kabisa mkuu akuna timu rahisi,ila Simba ya mwaka huu ni bora zaidi ya yamwaka zuji hasa idara ya ulinzi na viungo.Huu sio mwaka juzi, na mwaka huu Simba inabd ajiandae sana mkuu, team zote alizonazo kwenye group lao wanamfahamu vizuri... Hakutakuwa na game rahisi
Ushindi wa goli moja ndio uliwapeleka robo fainali, kwani wewe ulihitaji iwe vipi?Ushindi wa Simba Ni goal 1 Taifa wakati hao waarabu wakiwa kwao Ni mwendo wa hamsa hamsa uoni utofauti hapo
Yanga wamesajiri beki toka mtibwa.. pia kuna shaibu ninja ambaye sio mbaya pia.. YANGA hakuna shida ya beki bossKwani kati ya yanga na simba Nani ana shida ya beki?
Moro na mwamnyeto
Wawa na onyango
Wapi unaona wamekamilika...prone injuries za Moro ambae hawezi cheza hata mechi 5 mfululizo!
Unamaanisha jamaa ni bora kuliko hata Salah? [emoji23][emoji23] afu mbona takwimu mnaweka za mashindano ya Afcon tu ? Ina maana huyu mchezaji kwenye timu alizocheza alikuwa hafungi?
Ikitokea kwenye Hilo kundi kila team ikashinda nyumbani watochoangalia Ni head to head ndio itaonesha utofauti mkubwa yule ambae anashinda nyumbani kwa goal 1 na yule anayepiga hamsa hamsa akiwa home.Advantage tulioipata mpaka tukaingia robo fainal ni kwasababu ya AS Vita alidraw na Al ahly nyumbani kwake tofauti na hapo tusingeshika nafasi ya pili kwasababu head to head AS Vita alituzidi.Ushindi wa goli moja ndio uliwapeleka robo fainali, kwani wewe ulihitaji iwe vipi?
Simba ya mwaka huu beki imeimarika na ugenini tumepoteza Basi si zaidi ya goli 2Ikitokea kwenye Hilo kundi kila team ikashinda nyumbani watochoangalia Ni head to head ndio itaonesha utofauti mkubwa yule ambae anashinda nyumbani kwa goal 1 na yule anayepiga hamsa hamsa akiwa home.Advantage tulioipata mpaka tukaingia robo fainal ni kwasababu ya AS Vita alidraw na Al ahly nyumbani kwake tofauti na hapo tusingeshika nafasi ya pili kwasababu head to head AS Vita alituzidi.
Sarpong alisajiliwa kwa mapendekezo ya nani ili tumpige huyo jamaa?Abdoul razak kasajiliwa kwa mapendekezo ya kocha kaze,chikwende kasajiliwa kwa mapendekezo ya nani? Maana simba haina kocha
Angalia goli za kufunga na kufungwa kwa timu zote mbiliAbdul Razak
Hakuna mfatiliaji na mdau wa soka bongo asiejua kwamba shida ya Yanga SC ni striker, Yanga ilikuwa inaitaji striker na imepata striker, kuhusu striker ni Mzuri kiasi gani ligi zetu za kiafrika hazina formula
Chikwende
Nadhani watu wengi wa Simba na wadaawa wa soka wengi bongo walitegemea Simba ingesajili beki wa Kati kijana na mwenye speed, lakn Barbra amesajli forward, Chikwende sio mchezaj mbaya, kwani anakasi na ataongeza kasi zaidi mbele, lakn kwa Mtazamo wangu Mimi Simba waliitaji beki wa Kati pia zaidi kuliko strikera
Ilimpeleka robo kwa ujinga wa As Vita kushindwa kutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani kwenye mchezo dhidi ya Js Soura. ila laiti kama kila timu ingetumia uwanja wake wa nyumbani basi wasingefika robo fainali kwasababu aliruhusu magoli mengi. As vita atakuwa amejipanga kwasababu kaijua Simba na Al Ahly pia. Jambo pekee Simba wanalopaswa kubadilika ndani ya msimu huu ni either kutoruhusu magoli mengi ugenini ama nawao wakiwa nyumbani wawashindilie magoli mengi wapinzani waoUshindi wa goli moja ndio uliwapeleka robo fainali, kwani wewe ulihitaji iwe vipi?
Speed ya kwenda wapi, kufunga magoli? Wapo wing backs mtawapenda tu, Shomari na Duchu kulia, Tshabalala na Gadiel kushoto. Kama ni kasi ya kushambulia hao wapo sana... Simba ingesajili beki wa Kati kijana na mwenye speed
Mbona unapiga ramli sasa, Haikutokea na lengo la simba ni kushinda mechi za nyumbani. Na lengo likatimia, So tatizo lako liko wapi? Kama una ushauli mzuri peleka kwa utopolo. Maana wanajipigia tu home and away.Ikitokea kwenye Hilo kundi kila team ikashinda nyumbani watochoangalia Ni head to head ndio itaonesha utofauti mkubwa yule ambae anashinda nyumbani kwa goal 1 na yule anayepiga hamsa hamsa akiwa home.Advantage tulioipata mpaka tukaingia robo fainal ni kwasababu ya AS Vita alidraw na Al ahly nyumbani kwake tofauti na hapo tusingeshika nafasi ya pili kwasababu head to head AS Vita alituzidi.
Ujinga au uwezo? Nonsense. Hivi umaamini mpila ni kuongea tu like, tunataka tushinde mechi zote za nyumbani na inatokea? Simetimes jifunze tu ku apreciates kuwa simba wamepambana. You talk kama vile kucheza nyumbani ni tiketi ya kushinda hata ukikutana na al haly? Kawaulize utopolo kama ni rahisi hivyo mbona walikuwa wanatoboka nje ndani.Ilimpeleka robo kwa ujinga wa As Vita kushindwa kutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani kwenye mchezo dhidi ya Js Soura. ila laiti kama kila timu ingetumia uwanja wake wa nyumbani basi wasingefika robo fainali kwasababu aliruhusu magoli mengi. As vita atakuwa amejipanga kwasababu kaijua Simba na Al Ahly pia. Jambo pekee Simba wanalopaswa kubadilika ndani ya msimu huu ni either kutoruhusu magoli mengi ugenini ama nawao wakiwa nyumbani wawashindilie magoli mengi wapinzani wao
πππππππYIKPE HAS COME IN ANOTHER FACEzile takwimu ni mechi za kufuzu ulidhani afcon kafunga goal sita?thubuutuuuu ,huyo jamaa tangu 2015 hadi 2020 mechi zote na klabu zotte ana magoal 22 kwa miaka 5