Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Umetoa point sana, mpira ni mbinu tu, Yanga siku zote wanapenda wachezaji aina ya Usain Bolt, rejea Lunyamila, Thomas Kipese, Mohamed Hussein hivyo yaaniTuisila alifunga magoli mangapi kwa kasi yake hiyohiyo dhidi ya Onyango?
By the way kasi ya nini hujui mpira ni methods tu ? Hivi ushajiuliza kwa nini Chama hana spidi kama Tuisila ila anaweka kambani mara nyingi kuliko huyo Tuisila!?
Mpira maarifa ,mbio nenda kwa Bolt
Chaguzi za Yanga bana