Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Chama kinakuhitaji sana rudi haraka
 
if cap fits,

Yes, this is it. Mwanadamu mdhambi kamwe hawezi kuacha dhambi fulani au udhaifu fulani bila ya msaada wa Mungu.

Hali aliyonayo jamaa ni kukiri tu udhaifu wake mbele za Mungu na amuombe Mungu aingilie kati ktk hili. Hakika atavuka hiki kizingiti.
 
Mkuu weka hapa kila kitu. Mimi pia nataka kuacha hiki kifungo
 
DAAH MKUU POLE SANA NASIKIA NI NGUMU SANA KUACHA ILA UKIWEKA NIA NA KIAPO THABITI UTAFANIKIWA
Mkuu hata ukiweka viapo ni bure tuu. Mi nakumbuka nilishaapa nakusema ( kuanzia leo naacha nyeto na siku nikipiga nife, lakini huwezi amini baada ya masaa mawili niliungurumisha punyeto balaaa. Yani yani yaniiii!!!!
 
Kivip mkuu
 
Kila ukijihisi unataka kufanya jiulize haya maswali;
1) What for?
2) Kama sio leo nitaacha lini?
Halafu jiambie; Mimi sio dhaifu kiasi hiki.
Kwangu imenisaidia, nilikua muhanga ila nikaacha. Kila la heri mkuu.
Asante sana mkuu.
Msemo wa penye nia pana nji, umefanya kazi kwa hii case yangu.

Kwa kuwa nilionyesha nia ya kuachana na hii kitu nashukuru wengi pamoja na wewe mmenionyesha njia mimi binafsi na wengine ambao pia hii kitu inawasumbua na wanataka kuachana nayo kabisa.
 
rafiki haujawahi kutoa ushauri mbaya toka mwaka juzu uliponishauri kuhusu betting leo tena nimekuona japo kwa ID tofauti leo tumekutana.
 
Kaa mbali na smartphone maana ndo chanzo kikubwa cha kuangalia pornography
 
Tatizo ni kwamba mnabeba vyuma halafu mnaenda kupiga punyeto,mtu anapiga punyeto kama anafua nguo,madhara yanakuwepo tu,hasa pale hisia zinapokupeleka kwa mwanamke ambaye ni mwl wa hesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…