Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Na mwanaume kujichua?Nazidi kukazia kwamba mwanamke kujichua ni matumizi mabaya ya rasilimali wanaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mwanaume kujichua?Nazidi kukazia kwamba mwanamke kujichua ni matumizi mabaya ya rasilimali wanaume
[emoji23][emoji23][emoji23] sure mkuuLabda muwe mnakwenda na msalani pamoja, maana kuna wengine akipata tu kaupenyo utashangaa tayari krakatoa kitu na kuwa mwepesi
Na mwanaume kujichua?
Domo zege/mzembe
Janja ya nyani kula Hindi bichi huku amekalia kijinga cha moto... atueleze hapa kila mtu aone ndo maana ya ForumMLETA MADA ACHA UJANJA WA NYANI KULA HINDI BICHI WAKTI KAKALIA GOGO LENYE MOTO, HUMU NDANI NI WACHACHE SANA WANAOTUMIA MAJINA HALISI NI KITU GANI KINACHOKUZUIA KUTOA HILO SULUHISHO AU WEWE NDIO MWENYE SHIDA? USIKUTE UNATAFUTA BASHA KISELA
Namimi siku ntakuja na tiba yangu bado nipo kwenye research 80% completedMimi jinsia yangu ni me. Nna hilo tatizo kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Nisaiadie nifanyeje ili liishe
Kwa hiyo tiba yako imewalenga wadada???Ucjal mkuu na mm ndio mana nkasema mwenye atantafuta private then ntamsaidia. Lengo tusaidiane hili tatizo linatuangamiza sana vijana yan sana!. Mkuu ngoja nkwambie tu kwann nliamua kuitafuta hii dawa, ni hivi niliwai kuwa na dem ndio alikuwa na hii shida yan ilikuwa kila tukikutana kabla hatujafanya yetu ilikuwa tukianza tu romance bac anakustopsha kwanza ajichezee had amalize then ndo anakwambia haya endelea sasa, yan alikuwa hasikii raha bila kujichua kwanza ndo muendelee. Yan ndo nlimkuta ana hyo tabia wkt naanza nae mahusiano, ndipo nlipotafuta solution/dawa ya kutibu hili tatizo. Mkuu amini kwamba nowadays hawa dada zetu wanafanya sana huu mchezo yan hata ukitaka kuwajua kwa macho wazoefu wa huu mchezo naweza nikakupa signs zao ukawajua
Hapa tunakubaliana, lakini mwanamke kama hatongozwi afanyeje?
1.Acha kutazama pornography na kusoma masimulizi ya vichocheo
2.Tumia muda mwingi kuomba Mungu na kushiriki ibada nafsi inapoimalika itakupa nguvu kuutawala mwili.
3.Angalia aina ya marafiki pia unaokuwa nao mnatumia muda mwingi jadili nini
nb. usioe kwanza kwa sababu ya kuepuka jichua hakikisha mpaka akili imepona tatizo la masturbation na imekuwa normal sababu ukizoea kujichua unatengeneza akili isiyojua uhalisia wa tendo la ndoa
Kwanini usiandike hapa hapa maana utasaidia vijana wengi mkuuNjoo inbox nikusaidie..
Unatumia Kwa siku Mara ngapi?Mkuu kazi ninayo na saizi siwezi kuweka dem ndani bado pesa sijaipata.
Sio mwanafunzi mkuu na mda mwingi nashinda dukani na nikirudi napitiliza ghetto na kulala.marafiki wengi tunaonana jumapili tu na kuwasiliana tu.na pornography najitahidi saana kuacha kuangalia lakini nashindwa kabisa nikijitahidi saana Ni siku 3Acha kuwatch pornography, uwe na mpenzi wako tena wa kudumu na muwe karibu karibu ikiwezekana uoe kabisa(kuhusu kuoa itategemea umri wako maana labda wew bado mwanafunzi; hujatuambia hilo). Pia ujichanganye na watu hasa wa jinsia tofauti maana ukiathirika sana na punyeto utajikuta hata unawakwepa madem. Nakutakia mapambano mema!