Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Screenshot_20191124-203654~2.jpeg
 
MLETA MADA ACHA UJANJA WA NYANI KULA HINDI BICHI WAKTI KAKALIA GOGO LENYE MOTO, HUMU NDANI NI WACHACHE SANA WANAOTUMIA MAJINA HALISI NI KITU GANI KINACHOKUZUIA KUTOA HILO SULUHISHO AU WEWE NDIO MWENYE SHIDA? USIKUTE UNATAFUTA BASHA KISELA
Janja ya nyani kula Hindi bichi huku amekalia kijinga cha moto... atueleze hapa kila mtu aone ndo maana ya Forum
 
Ucjal mkuu na mm ndio mana nkasema mwenye atantafuta private then ntamsaidia. Lengo tusaidiane hili tatizo linatuangamiza sana vijana yan sana!. Mkuu ngoja nkwambie tu kwann nliamua kuitafuta hii dawa, ni hivi niliwai kuwa na dem ndio alikuwa na hii shida yan ilikuwa kila tukikutana kabla hatujafanya yetu ilikuwa tukianza tu romance bac anakustopsha kwanza ajichezee had amalize then ndo anakwambia haya endelea sasa, yan alikuwa hasikii raha bila kujichua kwanza ndo muendelee. Yan ndo nlimkuta ana hyo tabia wkt naanza nae mahusiano, ndipo nlipotafuta solution/dawa ya kutibu hili tatizo. Mkuu amini kwamba nowadays hawa dada zetu wanafanya sana huu mchezo yan hata ukitaka kuwajua kwa macho wazoefu wa huu mchezo naweza nikakupa signs zao ukawajua
Kwa hiyo tiba yako imewalenga wadada???

Uliposema unaweza kuwatambua machoni hapo ndio nilipoona ukanjanja wako.

Madomo zege hua hamjui kujificha sijui kwann.

#Nohardfeelingsyoooo#
 
Wakuu habari za saizi?
Msaada wenu kwa aliyeweza kuacha huu mchezo wa kujichua anipe mbinu alizotumia mpaka akaacha. Nimechoka sasa naona Kama najitesa mwenyewe.

Nipo kwenye game kitambo sana na nilishafanya sana haya mpaka nilikua mgunduzi wa style yangu ambayo niliipatia jina la Kuna nazi.

Ila kwa sasa nimechoka nishapiga sana mpaka kwenye gari. kazini n.k. Mpaka saizi naweza toka kulala na demu muda huohuo nikitulia dakika20 naenda na kujichua.

Mchango wako najua utawasaidia vijana wengi humu wengi wanajificha ila tatizo ni kubwa kwa vijana.

MAONI YA WADAU
1.Acha kutazama pornography na kusoma masimulizi ya vichocheo

2.Tumia muda mwingi kuomba Mungu na kushiriki ibada nafsi inapoimalika itakupa nguvu kuutawala mwili.

3.Angalia aina ya marafiki pia unaokuwa nao mnatumia muda mwingi jadili nini

nb. usioe kwanza kwa sababu ya kuepuka jichua hakikisha mpaka akili imepona tatizo la masturbation na imekuwa normal sababu ukizoea kujichua unatengeneza akili isiyojua uhalisia wa tendo la ndoa
 
Acha kuwatch pornography, uwe na mpenzi wako tena wa kudumu na muwe karibu karibu ikiwezekana uoe kabisa(kuhusu kuoa itategemea umri wako maana labda wew bado mwanafunzi; hujatuambia hilo).

Pia ujichanganye na watu hasa wa jinsia tofauti maana ukiathirika sana na punyeto utajikuta hata unawakwepa madem. Nakutakia mapambano mema!
 
Acha kuwatch pornography, uwe na mpenzi wako tena wa kudumu na muwe karibu karibu ikiwezekana uoe kabisa(kuhusu kuoa itategemea umri wako maana labda wew bado mwanafunzi; hujatuambia hilo). Pia ujichanganye na watu hasa wa jinsia tofauti maana ukiathirika sana na punyeto utajikuta hata unawakwepa madem. Nakutakia mapambano mema!
Sio mwanafunzi mkuu na mda mwingi nashinda dukani na nikirudi napitiliza ghetto na kulala.marafiki wengi tunaonana jumapili tu na kuwasiliana tu.na pornography najitahidi saana kuacha kuangalia lakini nashindwa kabisa nikijitahidi saana Ni siku 3
 
Back
Top Bottom